Fuel consumption ya Nissan x trail 2007/2008 ikoje?

That is Nissan....hapo ni mkataba..mtu wa toyota atafunga zake za elfu 70 kama mara kumi ndiyo ile ya nissan iwe imekufa...sasa hapo fikiria mwisho wa siku nani mwenye hasara kwenye spea kati ya mmiliki wa Nissan na toyota
Shockup original za Toyota Harrier ni 1.2M.

Kuna second grade 490K

Na third grade za 270K.


Uamuzi ni wako.
 
That is Nissan hapo ni mkataba..mtu wa toyota atafunga zake za elfu 70 kama mara kumi ndiyo ile ya nissan iwe imekufa...sasa hapo fikiria mwisho wa siku nani mwenye hasara kwenye spea kati ya mmiliki wa Nissan na toyota
Sure, nina Nissan Skyline nilifunga shock-up kwa laki 3.5 mwaka 2014 mpaka leo nadunda Sina stress
 
Hiyo Rav old model inaenda ngapi mkuu?
 
Tunatishwa mtaani kuwa Nissan Ni majanga
Na wengi wanaotoa vitisho hawajawahi kumiliki gari lolote la Nissan.

Na kama wamewahi kumiliki, basi kipato chao kwa mwezi kipo chini ya laki 7 ndiyo maana wanalia lia.

Kama wana kipato kizuri, basi itakuwa wabahili wa spea na wanfanya service kama ya Starlet.
 
Xtrail Gari SUV makini Sana (fuel efficient, cheap to buy & maintenance)
 
Nimewahi miliki (na kuuza baadae) magari brand ya mazda na nissan na sasa nimeseto kwa Toyota. Magari haya ya mazda na Nissan kwa uzoefu wangu hayana ubovu wowote shida ni uchache wake (haswa mazda) na hivyo wauzaji spea kuwa wachache na mafundi wengi kuwa wapiga ramli( kubahatisha manake wengi hawayajui kifundi) kitu kinachopelekea usumbufu hata kama hela unayo mkononi. Kwa sasa nimeamua kukaa kwa Toyota maaana ziko nyingi kila aina ufundi na spea zinakuwa rahisi. Nikivuka kwenda uchumi wa juu ntavuta amarok ama mnyama mwenyewe nissan patrol lile dude kama kilimo kwanza hapo nakuwa nna uhakika ikizingua nawapelekea wenyewe wauzaji halitii kidole fundi mangungo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…