Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante lakini sina hiyo interest kabisaa
Mjadala na vijembe unaendelea hata kama tutabisha mpaka tutoke jasho lakini kuna fukuto huko ndani na kilizidi tutaona mmoja mmoja mkitoka njeCCM itatawala nchi yetu kwa miongo mingi ijayo kama kufikiri kwa vyama mbadala hakutobadilika.
Ni wazuri kwa kuanzisha dansi ambayo huwa wanaingia kichwa kichwa ili ajenda ya kutawala isibadilike.
Hivi pilipili usiyoila inaanzaje kukuwasha?
Mjadala na vijembe unaendelea hata kama tutabisha mpaka tutoke jasho lakini kuna fukuto huko ndani na kilizidi tutaona mmoja mmoja mkitoka nje
Kama kweli ni wazuri kiasi hicho unachosemea wewe kwanini sasa wakaharibu uchaguzi wa 2020 kwa kiwango kile? Je hizi fiction naandika Mimi tuu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]Wala si vijembe. Hawa jamaa ni wazuri sana katika kupanga kuendelea kushika dola. Maana wanatoa ajenda kwa wengine na wanazifuata 100%.
Nina hakika pasi shaka wengi wa wanaodhaniwa wamepoteza, soon or later watapata vyeo vingine.
Dunia hii ngumu sana. Kadri tunavyoenda ndio pumba na mchele zinazidi kujitenga
Kama kweli ni wazuri kiasi hicho unachosemea wewe kwanini sasa wakaharibu uchaguzi wa 2020 kwa kiwango kile? Je hizi fiction naandika Mimi tuu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Bwashee tuache na chama chetu!Minyukano huwa haiishi kwenye hiki chama chakavu sana... Lakini mwisho wa siku unafique uliofichama huwaokoa huku wakisikilizia ladha ya mvinyo mpya.. Kisha ngebe huanza tena...!
Huwa kunakuwa na seasons kwenye hii minyukano yao na kila series mpya ina season zake, zisizopungua kadhaa..!!
Hapo kabla mama Samia hajapewa tunu ya kuwa rais wa jamhuri ya Muunganiko, panya zote ziliufyata , mbwa nazo zikabweka sana mpaka mapori yakakosa mawindo ya kuwindwa..mwindani mkuu akafanya zaidi ya nusu na robo wanyama wote kama si kutoroka na kutoweka mwituni basi wengine walinyamaa kimya kabisa
Series mpya ya bimkubwa ilianza na season zake, yalianza mataga, baadae yale yaliyobatiswa sukuma wiki gang halafu hivi karibuni kikaibuka hiki kituko kilichofemea mbaya mangofulism..Hawa wote ni kinyonga yuleyule kinachobadilika ni rangi tuu
Sasa mtifuano mpya ni juu ya Bi mkubwa kushika hatamu za chama hapo baadae mwezi huu..Juhudi za kumkwamisha toka kwenye kundi lilelile ni kubwa, lakini kwasasa huyu ndio kashikilia mpini wakati wao wameshikilia makali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..KIKIZIDI KUUMANA WATATOKA DAMU WAO...!!!
Kitu kingine kinachowaumiza sana ni hiki kifuniko cha mama dhidi ya hayati mwendazake.. Kinafunika na kukaza vibaya na kadiri kinavyofunika ire kitu inaitwa regasi inazidi kudidimizwa chini ardhini kwenye shimo la tewa..!!!
...Lakini zaidi ya hiyo regasi kitisho kikubwa zaidi ni uchaguzi wa 2025.. Bi mkubwa walau kwasasa haoneshi uchu wa madaraka na si ajabu 2025 akawa 'very linient'
Huyu mama ni muungwana sana, mpenda amani na anayetaka taifa liwe kitu kimoja katika uhalisia wake...Anajaribu kujenga jina lake kwa kuliponya taifa kutokana na madhila lililopia kipindi cha miaka mitano..anajaribu kufuta makovu mengi...huyu ni mshika dini kwa vitendo.. Hapendi mawaa kwenye mtima wake japo alihusika kwa kiasi chake kuvuruga uchaguzi uliopita lakini KESHASAMEHEWA!
Wazee wa majisifu mataga n the like hawapendi kuliona hili likitokea wanajua kwa hakika matokeo yake ni ccm kupelekwa ghalani kwenye makabrasha ya sahau
Hawa ni waidikaji wa mfumo uliowapa maisha ya kujidai kila kona..wanakwambia ccm chama dola, ccm chama dume..!! Hawa wana vitega uchumi na mirija ya ulaji mikongwe kabisa..ccm ikipelekwa ghalani..hawana maisha tena...na pengine watabadilishana vyumba vya mahabusu na Akina Mdude!!
HAWAKO TAYARI KUSHUHUDIA HAYA YANATOKEA... Hivyo fukuto wanalompa Bi mkubwa lina mengi ndani yake
Nimemaliza! NO OFFENSE!
View attachment 1754517
Inawezekana. Just be curious. Na fiction stories zetu za hapa na paleNaona unapiga abouturn
Kwa hilo jina lako wewe ni Mgogo, toka lini mgogo akawa na akili timamu?CCM itatawala nchi yetu kwa miongo mingi ijayo kama kufikiri kwa vyama mbadala hakutobadilika.
Ni wazuri kwa kuanzisha dansi ambayo huwa wanaingia kichwa kichwa ili ajenda ya kutawala isibadilike.
Hivi pilipili usiyoila inaanzaje kukuwasha?
Kwa hilo jina lako wewe ni Mgogo, toka lini mgogo akawa na akili timamu?
We jomba mjinga kweli..hivi unadhan woote hatuna akili...hivi Kwanza nikuulize..mama cheo chake cha awali Ni nani alimteua. Na je unadhan Miaka yote mitano yeye hakuwa sambamba na Magufuli..hivi unajua maana ya Makamu wa Rais.wewe..? Au unadhan yeye hakuwa anafanya kazi yoyote kwa Miaka yote mitano.akiwa Makamu wa Rais hakuna kitu kilikuwa kinafanyika bila wao kushauriana...la kama walikuwa hawashauriani basi mama angetuambua. Kwanza mama ameshatuambia ameachiwa urithi na mwenzake mambo yote atayaenzi na kuyaendeleza..Ni kwa sababu walikuwa wakiyafanya pamoja..sasa Leo utamtenga vipi mama yetu Samia na Magufuli...usitake kugombanisha watu jomba..na Wala huna uwezo huo..Minyukano huwa haiishi kwenye hiki chama chakavu sana... Lakini mwisho wa siku unafique uliofichama huwaokoa huku wakisikilizia ladha ya mvinyo mpya.. Kisha ngebe huanza tena...!