Fukuto jipya ndani ya CCM: Kuna zaidi ya tujuayo

Minyukano huwa haiishi kwenye hiki chama chakavu sana... Lakini mwisho wa siku unafique uliofichama huwaokoa huku wakisikilizia ladha ya mvinyo mpya.. Kisha ngebe huanza tena...!

Huwa kunakuwa na seasons kwenye hii minyukano yao na kila series mpya ina season zake, zisizopungua kadhaa..!!
Hapo kabla mama Samia hajapewa tunu ya kuwa rais wa jamhuri ya Muunganiko, panya zote ziliufyata , mbwa nazo zikabweka sana mpaka mapori yakakosa mawindo ya kuwindwa..mwindani mkuu akafanya zaidi ya nusu na robo wanyama wote kama si kutoroka na kutoweka mwituni basi wengine walinyamaa kimya kabisa
Series mpya ya bimkubwa ilianza na season zake, yalianza mataga, baadae yale yaliyobatiswa sukuma wiki gang halafu hivi karibuni kikaibuka hiki kituko kilichofemea mbaya mangofulism..Hawa wote ni kinyonga yuleyule kinachobadilika ni rangi tuu
Sasa mtifuano mpya ni juu ya Bi mkubwa kushika hatamu za chama hapo baadae mwezi huu..Juhudi za kumkwamisha toka kwenye kundi lilelile ni kubwa, lakini kwasasa huyu ndio kashikilia mpini wakati wao wameshikilia makali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..KIKIZIDI KUUMANA WATATOKA DAMU WAO...!!!

Kitu kingine kinachowaumiza sana ni hiki kifuniko cha mama dhidi ya hayati mwendazake.. Kinafunika na kukaza vibaya na kadiri kinavyofunika ire kitu inaitwa regasi inazidi kudidimizwa chini ardhini kwenye shimo la tewa..!!!
...Lakini zaidi ya hiyo regasi kitisho kikubwa zaidi ni uchaguzi wa 2025.. Bi mkubwa walau kwasasa haoneshi uchu wa madaraka na si ajabu 2025 akawa 'very linient'
Huyu mama ni muungwana sana, mpenda amani na anayetaka taifa liwe kitu kimoja katika uhalisia wake...Anajaribu kujenga jina lake kwa kuliponya taifa kutokana na madhila lililopia kipindi cha miaka mitano..anajaribu kufuta makovu mengi...huyu ni mshika dini kwa vitendo.. Hapendi mawaa kwenye mtima wake japo alihusika kwa kiasi chake kuvuruga uchaguzi uliopita lakini KESHASAMEHEWA!

Wazee wa majisifu mataga n the like hawapendi kuliona hili likitokea wanajua kwa hakika matokeo yake ni ccm kupelekwa ghalani kwenye makabrasha ya sahau
Hawa ni waidikaji wa mfumo uliowapa maisha ya kujidai kila kona..wanakwambia ccm chama dola, ccm chama dume..!! Hawa wana vitega uchumi na mirija ya ulaji mikongwe kabisa..ccm ikipelekwa ghalani..hawana maisha tena...na pengine watabadilishana vyumba vya mahabusu na Akina Mdude!!
HAWAKO TAYARI KUSHUHUDIA HAYA YANATOKEA... Hivyo fukuto wanalompa Bi mkubwa lina mengi ndani yake

Nimemaliza! NO OFFENSE!
View attachment 1754517

naona tumaini lenu mbung'o limebaki kwa mama,hasa baada ya kuona hakuna dalili yoyote ya bimkubwa kuwarudisha 2015.

sasa kilichobaki ni kumuimbia mapambio y kutongoza ili walau asikilize na sera zenu.

kukumbusha tu.
mama yuko dodoma kiofisi,kama ndoto za yohana zilivyokuwa.
hakuna kusitisha ujenzi wa miladi mikuwa 3 aliyoanzisha yohana,hapa yohana ataendelea kudhihirika.
mpaka sasa mama hajatoa agizo la aina yoyote kutengua jambo lolote aliloanzisha yohana iwe kwa chuki ama kujilinda.

Mbung'o mmeduwaa hamwelewi next move ni wapi mama anaelekea,mnapiga ramli.
ufipa wamekuwa smart maana A na B kote sio msimamo wao toka mwanzo,wamekaa kusoma mchezo,kisha kwa kuanza wakaona waende na kuzungumzia tumaini mama alilorudisha.
 
Mjadala na vijembe unaendelea hata kama tutabisha mpaka tutoke jasho lakini kuna fukuto huko ndani na kilizidi tutaona mmoja mmoja mkitoka nje
Mkuu mie naomba mungu fukuto liwatoe njee tuwaone hao wanaotaka wawe viongozi na koo tajiri nchini wakilalama..hii inchi inaenda kubadilishwa mfumo na mama, mi namuombea aonyeshe njia mpya...wale wanaodhani ndio wenye nchi kupitia ukoloni wao ndani ya chama...zama zao zimefika mwisho!
 
Sisi huwa hatusubiri bali tunaupa muda wakati
Ni vizuri wapinzani wakajijenga kwa sera na seriousness ya kuongoza nchi kuliko kila siku kufuatilia mambo ya nyumba ya jirani na kumcheka jirani wakati kwako hakuna hata moja la maana la kuwaaminisha wananzengo kwamba unaweza kufanya yaliyomshinda jirani yako. USICHEKE KIBANZI WAKATI NAWE UNA BORITI.
 
CCM itatawala nchi yetu kwa miongo mingi ijayo kama kufikiri kwa vyama mbadala hakutobadilika.
Ni wazuri kwa kuanzisha dansi ambayo huwa wanaingia kichwa kichwa ili ajenda ya kutawala isibadilike.
Hivi pilipili usiyoila inaanzaje kukuwasha?
Kufikiri vipi mkuu.
CCM itaondoka ktk sanduku la kura iwapo katiba itakuwa ya warioba.vm hawataki katiba ya haki ili waendelee kutawala na kurithisha watoto wao madaraka.
Kama wanyonge wanasaidiwa na ccm basi watatawala milele.
Ukweli ni kwa kwamba wanyonge ndio mtaji wa ccm, wasomi ni wale tu wanaonufaika na mfumo wa upigaji kama wakurugenzi maafisa nk.
 
Kila mtu anacheza bits za CCM. How ironic!
 
Minyukano huwa haiishi kwenye hiki chama chakavu sana... Lakini mwisho wa siku unafique uliofichama huwaokoa huku wakisikilizia ladha ya mvinyo mpya.. Kisha ngebe huanza tena...!

Huwa kunakuwa na seasons kwenye hii minyukano yao na kila series mpya ina season zake, zisizopungua kadhaa..!!
Hapo kabla mama Samia hajapewa tunu ya kuwa rais wa jamhuri ya Muunganiko, panya zote ziliufyata , mbwa nazo zikabweka sana mpaka mapori yakakosa mawindo ya kuwindwa..mwindani mkuu akafanya zaidi ya nusu na robo wanyama wote kama si kutoroka na kutoweka mwituni basi wengine walinyamaa kimya kabisa
Series mpya ya bimkubwa ilianza na season zake, yalianza mataga, baadae yale yaliyobatiswa sukuma wiki gang halafu hivi karibuni kikaibuka hiki kituko kilichofemea mbaya mangofulism..Hawa wote ni kinyonga yuleyule kinachobadilika ni rangi tuu
Sasa mtifuano mpya ni juu ya Bi mkubwa kushika hatamu za chama hapo baadae mwezi huu..Juhudi za kumkwamisha toka kwenye kundi lilelile ni kubwa, lakini kwasasa huyu ndio kashikilia mpini wakati wao wameshikilia makali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..KIKIZIDI KUUMANA WATATOKA DAMU WAO...!!!

Kitu kingine kinachowaumiza sana ni hiki kifuniko cha mama dhidi ya hayati mwendazake.. Kinafunika na kukaza vibaya na kadiri kinavyofunika ire kitu inaitwa regasi inazidi kudidimizwa chini ardhini kwenye shimo la tewa..!!!
...Lakini zaidi ya hiyo regasi kitisho kikubwa zaidi ni uchaguzi wa 2025.. Bi mkubwa walau kwasasa haoneshi uchu wa madaraka na si ajabu 2025 akawa 'very linient'
Huyu mama ni muungwana sana, mpenda amani na anayetaka taifa liwe kitu kimoja katika uhalisia wake...Anajaribu kujenga jina lake kwa kuliponya taifa kutokana na madhila lililopia kipindi cha miaka mitano..anajaribu kufuta makovu mengi...huyu ni mshika dini kwa vitendo.. Hapendi mawaa kwenye mtima wake japo alihusika kwa kiasi chake kuvuruga uchaguzi uliopita lakini KESHASAMEHEWA!

Wazee wa majisifu mataga n the like hawapendi kuliona hili likitokea wanajua kwa hakika matokeo yake ni ccm kupelekwa ghalani kwenye makabrasha ya sahau
Hawa ni waidikaji wa mfumo uliowapa maisha ya kujidai kila kona..wanakwambia ccm chama dola, ccm chama dume..!! Hawa wana vitega uchumi na mirija ya ulaji mikongwe kabisa..ccm ikipelekwa ghalani..hawana maisha tena...na pengine watabadilishana vyumba vya mahabusu na Akina Mdude!!
HAWAKO TAYARI KUSHUHUDIA HAYA YANATOKEA... Hivyo fukuto wanalompa Bi mkubwa lina mengi ndani yake

Nimemaliza! NO OFFENSE!
View attachment 1754517
Aaahh..hii nayo ni pumba tu kutoka ufipa ya upareni
 
naona tumaini lenu mbung'o limebaki kwa mama,hasa baada ya kuona hakuna dalili yoyote ya bimkubwa kuwarudisha 2015.

sasa kilichobaki ni kumuimbia mapambio y kutongoza ili walau asikilize na sera zenu.

kukumbusha tu.
mama yuko dodoma kiofisi,kama ndoto za yohana zilivyokuwa.
hakuna kusitisha ujenzi wa miladi mikuwa 3 aliyoanzisha yohana,hapa yohana ataendelea kudhihirika.
mpaka sasa mama hajatoa agizo la aina yoyote kutengua jambo lolote aliloanzisha yohana iwe kwa chuki ama kujilinda.

Mbung'o mmeduwaa hamwelewi next move ni wapi mama anaelekea,mnapiga ramli.
ufipa wamekuwa smart maana A na B kote sio msimamo wao toka mwanzo,wamekaa kusoma mchezo,kisha kwa kuanza wakaona waende na kuzungumzia tumaini mama alilorudisha.
Upe muda wakati ..ni hakimu mzuri tena wa haki, maandishi huwa hayafutiki tutakuja kurudi hapa kukumbushana haya.. Mungu atupe tu uhai na uzima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mkuu hiki chama chakavu wanaweza kuwa na misuguano ila ikifika muda wa kutaka madaraka hua kitu kimoja.
 
Minyukano huwa haiishi kwenye hiki chama chakavu sana... Lakini mwisho wa siku unafique uliofichama huwaokoa huku wakisikilizia ladha ya mvinyo mpya.. Kisha ngebe huanza tena...!

Huwa kunakuwa na seasons kwenye hii minyukano yao na kila series mpya ina season zake, zisizopungua kadhaa..!!
Hapo kabla mama Samia hajapewa tunu ya kuwa rais wa jamhuri ya Muunganiko, panya zote ziliufyata , mbwa nazo zikabweka sana mpaka mapori yakakosa mawindo ya kuwindwa..mwindani mkuu akafanya zaidi ya nusu na robo wanyama wote kama si kutoroka na kutoweka mwituni basi wengine walinyamaa kimya kabisa
Series mpya ya bimkubwa ilianza na season zake, yalianza mataga, baadae yale yaliyobatiswa sukuma wiki gang halafu hivi karibuni kikaibuka hiki kituko kilichofemea mbaya mangofulism..Hawa wote ni kinyonga yuleyule kinachobadilika ni rangi tuu
Sasa mtifuano mpya ni juu ya Bi mkubwa kushika hatamu za chama hapo baadae mwezi huu..Juhudi za kumkwamisha toka kwenye kundi lilelile ni kubwa, lakini kwasasa huyu ndio kashikilia mpini wakati wao wameshikilia makali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..KIKIZIDI KUUMANA WATATOKA DAMU WAO...!!!

Kitu kingine kinachowaumiza sana ni hiki kifuniko cha mama dhidi ya hayati mwendazake.. Kinafunika na kukaza vibaya na kadiri kinavyofunika ire kitu inaitwa regasi inazidi kudidimizwa chini ardhini kwenye shimo la tewa..!!!
...Lakini zaidi ya hiyo regasi kitisho kikubwa zaidi ni uchaguzi wa 2025.. Bi mkubwa walau kwasasa haoneshi uchu wa madaraka na si ajabu 2025 akawa 'very linient'
Huyu mama ni muungwana sana, mpenda amani na anayetaka taifa liwe kitu kimoja katika uhalisia wake...Anajaribu kujenga jina lake kwa kuliponya taifa kutokana na madhila lililopia kipindi cha miaka mitano..anajaribu kufuta makovu mengi...huyu ni mshika dini kwa vitendo.. Hapendi mawaa kwenye mtima wake japo alihusika kwa kiasi chake kuvuruga uchaguzi uliopita lakini KESHASAMEHEWA!

Wazee wa majisifu mataga n the like hawapendi kuliona hili likitokea wanajua kwa hakika matokeo yake ni ccm kupelekwa ghalani kwenye makabrasha ya sahau
Hawa ni waidikaji wa mfumo uliowapa maisha ya kujidai kila kona..wanakwambia ccm chama dola, ccm chama dume..!! Hawa wana vitega uchumi na mirija ya ulaji mikongwe kabisa..ccm ikipelekwa ghalani..hawana maisha tena...na pengine watabadilishana vyumba vya mahabusu na Akina Mdude!!
HAWAKO TAYARI KUSHUHUDIA HAYA YANATOKEA... Hivyo fukuto wanalompa Bi mkubwa lina mengi ndani yake

Nimemaliza! NO OFFENSE!
View attachment 1754517
Legasi ya Magu itabaki MILELE JUA HILO
 
Legasi ya Magu itabaki MILELE JUA HILO
Bashiru hana raha, hana amani kutokana na kuhusishwa na madudu kadhaa kwenye ugonjwa na msiba wa mwendazake. Yeye anajitetea mbele ya wazee wastaafu na maprofesa wastaafu kuwa Mwanasheria Mkuu (AG) ndiye aliwapotosha msiba ulipotokea.

Aliwashauri wenzake kwamba mambo ya kumwapisha Samia kuwa rais yangeweza kufanyika baada ya mazishi. Kauli hiyo ikatafsiriwa kuwa yeye Bashiru anathubutu kuzuia Samia kuwa rais. AG akakaa kimya kabisa. Bashiru amemchukia sana AG. Kunahitaji upatanisho.

Bashiru anakana kuhusika na ukwapuaji wa fedha BoT. Kumekuwa na tuhuma kuwa yeye, Mpango, Dotto na Dr. Mchembe (daktari wa JPM) walichota fedha BoT wakati wa ugonjwa na msiba wa JPM. Samia aliagiza ripoti ya ukaguzi toka kwa CAG inayoonyesha matumizi Kati ya Jan na Machi.

Uteuzi wa Bashiru kuwa Katibu Mkuu Kiongozi ulitia shaka. Yeye anadai hakuwa consulted na JPM. Alimwita usiku kumwambia kesho yake anamteua. Na siku ya kuapishwa, JPM alikuwa tayari anaumwa. Alitokea kwenye drip kuja kumwapisha. Baada ya kuapishwa Bashiru hakukutana naye tena

Kwa muda ambao JPM hajazidiwa kabisa, Bashiru alikuwa anapewa maelekezo yote kwa simu.

Bashiru anadai kuwa alilalamika kwa JPM kwamba watu, hata ndani ya chama chake, wananung'unika kuwa anamuandaa kuwa mgombea 2025; JPM akajibu, "kuna ubaya gani?"

Bashiru anawaambia baadhi ya mabalozi rafiki zake na maprofesa wa UDSM kuwa ni kweli JPM alizungukwa na "majizi na majambazi" ndani na nje ya Ikulu; kwamba JPM alishayajua lakini hakuweza kuyashughulikia kwa vile alishawekeza muda na mali kuyajenga na kuyatetea hadhrani.

Dk Mchemba alikuwa daktari wa JPM siku za mwisho akichukua nafasi ya Dk Ng'wale aliyehamishiwa kwa First Lady. Alikuwa CEO wa Hospital ya Mzena. Pia ni ofisa TISS. Alishika nafasi zote 3 kwa amri ya JPM. Alienda BoT na Dotto wakiwa na saini ya Mpango wakamzonga Gavana.

Taarifa zinasema tayari Dk Mchemba amefutwa kazi na amenyang'anywa kitambulisho cha TISS baada ya "kusota ndani."

Hapo hapo kuna bifu la Bashiru dhidi yaMufti Mkuu. Bashiru anadai kuwa wakati serikali inasita kutangaza msiba wa JPM, Mufti alitumia vibaya muda huo Mufti Zubeir alikuwa rafiki wa JPM. Na alimtumia katika mengi. Baada JPM kufariki dunia, kabla ya kifo kutangazwa, Dk. Mchembe na kundi lake walimdanganya Mufti awasaidie kumshauri Samia ajiuzuru umakamu kwa hoja kuwa JPM akitoka hospital anamfukuza kazi bila kujali katiba
Walitaka Samia kwanza ajiuzuru ndipo watangaze msiba, ili apatikane mwanaume mwenzao ashike uongozi wa nchi. Samia alikataa. Ikumbukwe Mufti ndiye alikuwa anatumwa na DPP kwenda mahabusu kushawishi watu wakiri makosa (plea bargain). Wengine walikuwa wanampa hela ampelekee DPP.

Bashiru anamshangaa Samia kwa kumteua DPP kuwa Jaji. Anamuona kama mmoja wa majangili ya utawala wa JPM. Anampongeza Former DGIS Robert Makungu (RAS TABORA) kuwa ni mtu mwadilifu anayefa kuwa DG wa TISS
Kisa, eti Makungu alimheshimu sana JPM ila fitna zilimfanya rais asigundue uadilifu wa Makungu. Bashiru anamlaumu sana Kabudi kwa kumshauri vibaya JPM kuhusu jumuiya ya kimataifa. Ndiye alimzuia rais kumwajibisha Makonda kwa madai kuwa atawapa kiburi Wamarekani

Bashiru anasema kuwa Makonda ni kiumbe mchafu kuliko kitu chochote duniani.
Anatamba kuwa yeye na JPM walirejesha mali za chama na kukusanya mapato makubwa. Waliendesha uchaguzi bila kutegemea misaada ya wafadhili na wakibakiwa na salio zaidi 20bn. kwenye account ya chama

Bashiru anajiandaa kuandika kitabu ili kujisafisha. Anamwona JK kama adui wa taifa. Eti alimzonga sana JPM wakati wote mpaka akatishia kususia Ikulu na kwenda kuishi Chato; na kwamba Rais Museveni ndiye alisaidia "kumrejesha." Kifupi, Bashiru aweza hata kujinyonga! He's stressed!
#SautiKubwa
 
CCM kuna mambo. Kama haya ni ya kweli tutarajie anguko kubwa ambalo halijawahi kutokea.
 
Back
Top Bottom