Fukuto jipya ndani ya CCM: Kuna zaidi ya tujuayo

CCM itatawala nchi yetu kwa miongo mingi ijayo kama kufikiri kwa vyama mbadala hakutobadilika.
Ni wazuri kwa kuanzisha dansi ambayo huwa wanaingia kichwa kichwa ili ajenda ya kutawala isibadilike.
Hivi pilipili usiyoila inaanzaje kukuwasha?
 
Mjadala na vijembe unaendelea hata kama tutabisha mpaka tutoke jasho lakini kuna fukuto huko ndani na kilizidi tutaona mmoja mmoja mkitoka nje
 
Mjadala na vijembe unaendelea hata kama tutabisha mpaka tutoke jasho lakini kuna fukuto huko ndani na kilizidi tutaona mmoja mmoja mkitoka nje

Wala si vijembe. Hawa jamaa ni wazuri sana katika kupanga kuendelea kushika dola. Maana wanatoa ajenda kwa wengine na wanazifuata 100%.
Nina hakika pasi shaka wengi wa wanaodhaniwa wamepoteza, soon or later watapata vyeo vingine.
Dunia hii ngumu sana. Kadri tunavyoenda ndio pumba na mchele zinazidi kujitenga
 
Kama kweli ni wazuri kiasi hicho unachosemea wewe kwanini sasa wakaharibu uchaguzi wa 2020 kwa kiwango kile? Je hizi fiction naandika Mimi tuu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Unafikiri waliopo sasa hawakuhusika? Ndio maana nashangaa. Wote ni wale wale. Wanatoa ajenda mnabebea bango na kufurahi. Ila sio madaraka 😂😂😂😀😀
 
Magu hakuwa mmoja ya wenye chama hata uenyekiti alipewa tu ubaya wake baada ya kupewa mwenyekiti aliwaweka pembeni wenye chama... Mama Samia nae sio mmoja ya wenye chama ila huyu watu wenye chama wanamuamini sana
 
Unafikiri waliopo sasa hawakuhusika? Ndio maana nashangaa. Wote ni wale wale. Wanatoa ajenda mnabebea bango na kufurahi. Ila sio madaraka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]
Naona unapiga abouturn
 
Bwashee tuache na chama chetu!
 
Huwa mnasemaga hivyo kila mwaka kwamba wamegawanyika ila ukija uchaguzi mnagongwa kama kawaida
 
CCM itatawala nchi yetu kwa miongo mingi ijayo kama kufikiri kwa vyama mbadala hakutobadilika.
Ni wazuri kwa kuanzisha dansi ambayo huwa wanaingia kichwa kichwa ili ajenda ya kutawala isibadilike.
Hivi pilipili usiyoila inaanzaje kukuwasha?
Kwa hilo jina lako wewe ni Mgogo, toka lini mgogo akawa na akili timamu?
 
Kwa hilo jina lako wewe ni Mgogo, toka lini mgogo akawa na akili timamu?

Sio tu hawana akili timamu, ila wanawaburuza Kule bungeni jinsi inavyowapendeza. Endeleeni kuicheza ngoma ya CCM kama wanavyoipiga. Msiseme hamkuambiwa
 
We jomba mjinga kweli..hivi unadhan woote hatuna akili...hivi Kwanza nikuulize..mama cheo chake cha awali Ni nani alimteua. Na je unadhan Miaka yote mitano yeye hakuwa sambamba na Magufuli..hivi unajua maana ya Makamu wa Rais.wewe..? Au unadhan yeye hakuwa anafanya kazi yoyote kwa Miaka yote mitano.akiwa Makamu wa Rais hakuna kitu kilikuwa kinafanyika bila wao kushauriana...la kama walikuwa hawashauriani basi mama angetuambua. Kwanza mama ameshatuambia ameachiwa urithi na mwenzake mambo yote atayaenzi na kuyaendeleza..Ni kwa sababu walikuwa wakiyafanya pamoja..sasa Leo utamtenga vipi mama yetu Samia na Magufuli...usitake kugombanisha watu jomba..na Wala huna uwezo huo..
 
Tatizo lenu mnataka kufananisha ccm na chadema..hivi mna akili kweli..mnadanganyana sanaa..Ni sawasawa ufananishe tembo na sisimizi..utakuwa mwehu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…