FULL FIGHT: Pambano kati ya Francis Ngannou vs Tyson Fury

Tyson Fury ameshindikana kabisa. Japo nae Nganou anastahili pongezi maana kuanzia round ya 7 alikua anaonesha kachoka ila bado aliweza kurusha ngumi zilizomtetemesha Fury mpaka wengi tuliamini Fury anaweza kaa
Hilo pambano limeamuriwa katika mrengo wa kulinda jina la Fury, hakustahili kushinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LIle bomber alilopewa na Wilder lilifanya mpaka familia ya Wilder ikaanza kushangilia wakiamini sasa Fury ndio kwisha habari lakini mwamba aliamka. Fury ni chuma haswaa
Noma sana mkuuu


Kuna Moja ya interviews yake alisema

"Alipopigwa Ile bomba alimuomba sana Yesu Kristo ampambanie ainuke
maana kwa nguvu za mwli wake asingeweza anakwambia aelewi nguvu zilitoka wapi akajikuta kainuka nakuendelea na pambano😁
 
Abakie huku kwa ajili ya mapambano ya utangulizi, franc akijifua vyema anawachapa hata kina joshua
 
Boxing inalipa sana.
 
Noma sana mkuuu


Kuna Moja ya interviews yake alisema

"Alipopigwa Ile bomba alimuomba sana Yesu Kristo ampambanie ainuke
maana kwa nguvu za mwli wake asingeweza anakwambia aelewi nguvu zilitoka wapi akajikuta kainuka nakuendelea na pambano😁
Chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…