Full interview: Diamond amesema kuhusu Ommy Dimpoz, Ali Kiba, nani mkali, Rihanna na Ross

Huyu nae muangaikaji mno alafu hajui watu aliokaanao hao kina sallama sijui ni mzigo tu,thats not professional beef za kichoko hizi wote machoko
 
Aache usenge huyu diamond watu wametoka hata kabla yake leo anasema wanatafuta kiki kwake wakona Alikiba wameanza kusikikaa hata kabla yake nani asiyemjuwa Alikibaa leo ndio aje kitafuta kiki mtoto atakuwa analiwa huyu sio buree.....aendelee kufanya kazi aache uchoko wake.....walikuwaga wakina Mr Nice sembuse yeye leo??
 
angeachana na hawa watu watamshusha kwenye upumbavu wao afu watamshinda kwa uzoefu, sijui kama anatambua level aliyopo
 
Wameanza kupotea kimuziki sasa wanasaka atention upya. Sioni jipya. Wote Diamond, Ommy Dimpoz, Ali kiba wamebaki majungu na kushindana tu kwa mi team ujinga NYIMBO ZAO ZOTE BIG g siku 3 kwisha habari

Ipo wapi Salome
Ipo wapi Mwana

Upumbavu tu, mziki ulikuwa Zamani, kwasasa walau waandishi kama Gooluck Gozbert (rollpop) wanajitahd.
 
Hili bifu ni la kijinga sana,wote wapuuzi tu.
Wangekuwa wanawake ndio wanaofanya huu ujinga tungetukanwa sana.
Sasa wanaume sijui inakuwaje.
Fanyeni kazi...kazi ziongee.
Period
 
Domo kawa uchi na issue ya YouTube ndio maana povu limemtoka... Na tunampeleka mahakamani athibitishe ommy bwabwa la sivyo jail time
 
Bifu ya hovyo kabisa inafunga mwaka....Diamond alikuwa na kila.sababu ya kutoiongelea hii kitu kwanza uyo Dimpozi si size yake kwa sasa bora Simba angenyamaza kama siku zote anavyofanya
 
Diamond anaweza akawa n mmoja kat ya wasanii wachache sn waliosemwa na kunyanyaswa na watz pamoja na wasanii wenzie, na mara nyingi amekuw n mzito sn kuwajibu ila kw sasa naona na yy kachoka... kw hatua aliyopo sasa hiv uwez kumlinganisha na msanii yoyote East Africa lkn baadhi ya watz hawatak kulikubali ilo... na wanamchukulia kimazoea na ndio maana kila jambo atakalo fanya n lazima watampginga... mtu anakwmbia Ali kiba alikuwepo kabla yake n sawa Ali kiba alianza mzik kitambo sasa ananin cha kujivunia mbele ya diamond... wakat Messi anaanza kucheza mpira wa ushindan mwaka 2005 alikuta tayar kuna watu walimtangulia lkn yy alikuja na kawek historia yake na kawa bora zaid ya wachezaj wengi aliowakuta... tusisubir mpk cku akija kututoka ndio tuanze kumsifia km anafanya vizur we mkubali tu... haya sasa Ali kiba kaaza mzik kitambo atwambie alishawai kulipa mapato TRA akalivyofanya mwenzake, tukianza kuchambua mambo amabayo Diamond ameyafanya kwny mzik huu n mengi kuliko... watz tujifunze kukubali, tujifunze kukubali vya kwetu na kuvithamin....
 
Ni kawaida ya wabongo kuchukia mafanikio ya mtu
sijui nani aliwaroga!!
 
Domo kawa uchi na issue ya YouTube ndio maana povu limemtoka... Na tunampeleka mahakamani athibitishe ommy bwabwa la sivyo jail time
aisee! kwahiyo umeamini kama viewers wananunuliwa!!

Kazi kweli
 
Wameanza kupotea kimuziki sasa wanasaka atention upya. Sioni jipya. Wote Diamond, Ommy Dimpoz, Ali kiba wamebaki majungu na kushindana tu kwa mi team ujinga NYIMBO ZAO ZOTE BIG g siku 3 kwisha habari

Ipo wapi Salome
Ipo wapi Mwana

Upumbavu tu, mziki ulikuwa Zamani, kwasasa walau waandishi kama Gooluck Gozbert (rollpop) wanajitahd.
hizo za zamani zinazopigwa leo ziko wapi? zina mafanikio gani?
Kuna faida gani kufanya huo mziki kama wa zamani usikupe mafanikio kama ya hawa vijana wetu wa siku hizi?

Muziki ni biashara hata kama una bidhaa nzuri isiyo uzika ikakupa faida, hiyo sawa na zero
 
Domo kawa uchi na issue ya YouTube ndio maana povu limemtoka... Na tunampeleka mahakamani athibitishe ommy bwabwa la sivyo jail time
Tutamdhibitishia kwa kumwambia akujaribu wewe, kama ataweza .....akiweza basi tutamlipa milioni 2.
 
Aache usenge huyu diamond watu wametoka hata kabla yake leo anasema wanatafuta kiki kwake wakona Alikiba wameanza kusikikaa hata kabla yake nani asiyemjuwa Alikibaa leo ndio aje kitafuta kiki mtoto atakuwa analiwa huyu sio buree.....aendelee kufanya kazi aache uchoko wake.....walikuwaga wakina Mr Nice sembuse yeye leo??
acheni kufananisha Almasi na Changarawe..
Mr nice alifanya nini cha maana..
em msijifanye hamuoni juhudi na mafanikio ya jamaa..
hastahili kabisa kuwekewa vibeef mbuzi na watoto wa mchangani!!
Mpeni heshima yake kama baba ya Muziki Tz..
hivi gafla hapa awe mnigeria ..mtabaki na nani ataeiweza mikoba yake???
hakuna hata ¼ yake ....
muwege mnampa heshima acheni kufananisha diamond na vitu vya hovyo hovyo.
 
umemaliza kila kitu namkumbuka sana marehem Kanumba ilikua hvi hvi sa hiv wako wap hao bongo muvie.
Diamond anaweza akawa n mmoja kat ya wasanii wachache sn waliosemwa na kunyanyaswa na watz pamoja na wasanii wenzie, na mara nyingi amekuw n mzito sn kuwajibu ila kw sasa naona na yy kachoka... kw hatua aliyopo sasa hiv uwez kumlinganisha na msanii yoyote East Africa lkn baadhi ya watz hawatak kulikubali ilo... na wanamchukulia kimazoea na ndio maana kila jambo atakalo fanya n lazima watampginga... mtu anakwmbia Ali kiba alikuwepo kabla yake n sawa Ali kiba alianza mzik kitambo sasa ananin cha kujivunia mbele ya diamond... wakat Messi anaanza kucheza mpira wa ushindan mwaka 2005 alikuta tayar kuna watu walimtangulia lkn yy alikuja na kawek historia yake na kawa bora zaid ya wachezaj wengi aliowakuta... tusisubir mpk cku akija kututoka ndio tuanze kumsifia km anafanya vizur we mkubali tu... haya sasa Ali kiba kaaza mzik kitambo atwambie alishawai kulipa mapato TRA akalivyofanya mwenzake, tukianza kuchambua mambo amabayo Diamond ameyafanya kwny mzik huu n mengi kuliko... watz tujifunze kukubali, tujifunze kukubali vya kwetu na kuvithamin....
 
Nilishawahi kuwaomba tufanye shoo ya nani zaidi,wakakataa hata January makamba nilimuomba uzamini na hata Babu Tale shahidi >>>DIAMOND.
Mimi nataka kama wanataka busta kutoka kwangu basi waje live sio kujificha ficha,na ndio maana nataka kama vipi tutengeneze busta la pesa >>>>DIAMOND.
Diamond asikubali kuandaa nani zaidi na Kiba, labda kama amesahau yale makopo na chupa za maji kwenye tamasha la tigo[emoji85]
 
Back
Top Bottom