Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye picha ya waziri yoyote ambae yuko kweny ofisi ya Kiba tunaomba atuwekee tafadhar
team kupumuliwaDomo kawa uchi na issue ya YouTube ndio maana povu limemtoka... Na tunampeleka mahakamani athibitishe ommy bwabwa la sivyo jail time
Ni kawaida ya wabongo kuchukia mafanikio ya mtuDiamond anaweza akawa n mmoja kat ya wasanii wachache sn waliosemwa na kunyanyaswa na watz pamoja na wasanii wenzie, na mara nyingi amekuw n mzito sn kuwajibu ila kw sasa naona na yy kachoka... kw hatua aliyopo sasa hiv uwez kumlinganisha na msanii yoyote East Africa lkn baadhi ya watz hawatak kulikubali ilo... na wanamchukulia kimazoea na ndio maana kila jambo atakalo fanya n lazima watampginga... mtu anakwmbia Ali kiba alikuwepo kabla yake n sawa Ali kiba alianza mzik kitambo sasa ananin cha kujivunia mbele ya diamond... wakat Messi anaanza kucheza mpira wa ushindan mwaka 2005 alikuta tayar kuna watu walimtangulia lkn yy alikuja na kawek historia yake na kawa bora zaid ya wachezaj wengi aliowakuta... tusisubir mpk cku akija kututoka ndio tuanze kumsifia km anafanya vizur we mkubali tu... haya sasa Ali kiba kaaza mzik kitambo atwambie alishawai kulipa mapato TRA akalivyofanya mwenzake, tukianza kuchambua mambo amabayo Diamond ameyafanya kwny mzik huu n mengi kuliko... watz tujifunze kukubali, tujifunze kukubali vya kwetu na kuvithamin....
aisee! kwahiyo umeamini kama viewers wananunuliwa!!Domo kawa uchi na issue ya YouTube ndio maana povu limemtoka... Na tunampeleka mahakamani athibitishe ommy bwabwa la sivyo jail time
hizo za zamani zinazopigwa leo ziko wapi? zina mafanikio gani?Wameanza kupotea kimuziki sasa wanasaka atention upya. Sioni jipya. Wote Diamond, Ommy Dimpoz, Ali kiba wamebaki majungu na kushindana tu kwa mi team ujinga NYIMBO ZAO ZOTE BIG g siku 3 kwisha habari
Ipo wapi Salome
Ipo wapi Mwana
Upumbavu tu, mziki ulikuwa Zamani, kwasasa walau waandishi kama Gooluck Gozbert (rollpop) wanajitahd.
Alimtafunaje wakati inasemekana kitafunio cha Ommy hakifanyi kaziKwani Ommy alimtafuna Sepetunga?,chuki zinazotokana na mbunye huwa haziiishi kirahisi,....wote vijanna ondoeni tofauti zenu maisha yasonge.
Kuna pungaz wengine wanatafunwa,na wao wanatafuna.....Alimtafunaje wakati inasemekana kitafunio cha Ommy hakifanyi kazi
Tutamdhibitishia kwa kumwambia akujaribu wewe, kama ataweza .....akiweza basi tutamlipa milioni 2.Domo kawa uchi na issue ya YouTube ndio maana povu limemtoka... Na tunampeleka mahakamani athibitishe ommy bwabwa la sivyo jail time
acheni kufananisha Almasi na Changarawe..Aache usenge huyu diamond watu wametoka hata kabla yake leo anasema wanatafuta kiki kwake wakona Alikiba wameanza kusikikaa hata kabla yake nani asiyemjuwa Alikibaa leo ndio aje kitafuta kiki mtoto atakuwa analiwa huyu sio buree.....aendelee kufanya kazi aache uchoko wake.....walikuwaga wakina Mr Nice sembuse yeye leo??
Diamond anaweza akawa n mmoja kat ya wasanii wachache sn waliosemwa na kunyanyaswa na watz pamoja na wasanii wenzie, na mara nyingi amekuw n mzito sn kuwajibu ila kw sasa naona na yy kachoka... kw hatua aliyopo sasa hiv uwez kumlinganisha na msanii yoyote East Africa lkn baadhi ya watz hawatak kulikubali ilo... na wanamchukulia kimazoea na ndio maana kila jambo atakalo fanya n lazima watampginga... mtu anakwmbia Ali kiba alikuwepo kabla yake n sawa Ali kiba alianza mzik kitambo sasa ananin cha kujivunia mbele ya diamond... wakat Messi anaanza kucheza mpira wa ushindan mwaka 2005 alikuta tayar kuna watu walimtangulia lkn yy alikuja na kawek historia yake na kawa bora zaid ya wachezaj wengi aliowakuta... tusisubir mpk cku akija kututoka ndio tuanze kumsifia km anafanya vizur we mkubali tu... haya sasa Ali kiba kaaza mzik kitambo atwambie alishawai kulipa mapato TRA akalivyofanya mwenzake, tukianza kuchambua mambo amabayo Diamond ameyafanya kwny mzik huu n mengi kuliko... watz tujifunze kukubali, tujifunze kukubali vya kwetu na kuvithamin....
Diamond asikubali kuandaa nani zaidi na Kiba, labda kama amesahau yale makopo na chupa za maji kwenye tamasha la tigo[emoji85]Nilishawahi kuwaomba tufanye shoo ya nani zaidi,wakakataa hata January makamba nilimuomba uzamini na hata Babu Tale shahidi >>>DIAMOND.
Mimi nataka kama wanataka busta kutoka kwangu basi waje live sio kujificha ficha,na ndio maana nataka kama vipi tutengeneze busta la pesa >>>>DIAMOND.