samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,965
Yeye anafanya kwaajili ya kupata PESA, wewe ukirusha kopo wakati ushalipia wewe ndio unakula hasara,kwasababu kukishakua na vurugu yeye anashuka huyooooo anaenda kulala na mkwanja umeshaingia benki.Diamond asikubali kuandaa nani zaidi na Kiba, labda kama amesahau yale makopo na chupa za maji kwenye tamasha la tigo[emoji85]