Full interview: Diamond amesema kuhusu Ommy Dimpoz, Ali Kiba, nani mkali, Rihanna na Ross

Diamond asikubali kuandaa nani zaidi na Kiba, labda kama amesahau yale makopo na chupa za maji kwenye tamasha la tigo[emoji85]
Yeye anafanya kwaajili ya kupata PESA, wewe ukirusha kopo wakati ushalipia wewe ndio unakula hasara,kwasababu kukishakua na vurugu yeye anashuka huyooooo anaenda kulala na mkwanja umeshaingia benki.
 
acheni kufananisha Almasi na Changarawe..
Mr nice alifanya nini cha maana..
em msijifanye hamuoni juhudi na mafanikio ya jamaa..
hastahili kabisa kuwekewa vibeef mbuzi na watoto wa mchangani!!
Mpeni heshima yake kama baba ya Muziki Tz..
hivi gafla hapa awe mnigeria ..mtabaki na nani ataeiweza mikoba yake???
hakuna hata ¼ yake ....
muwege mnampa heshima acheni kufananisha diamond na vitu vya hovyo hovyo.

Unamfahamu mtu anaitwa Mr Nice??na unajuwa mafanikio yake na utajiri wake ulikuwaje??sidhani kama ulimfatilia na kujua history yake huyo jamaaa??mtu anaongea na dharau nyingi mara hivi mara hivi muziki utamshindaa ndio maana mwishoni nikasema aache utotoo afanye kazi....
 
naona mavoko nae neema zimemuangukia... lazima acheke

Ndio aloyechangia wengine kujuta kutokuwa karibu na Diamond,

Mavoko, Harmonize na Rayvanny watakuwa USA baby kwa Nyani Ngabu wakitumbuiza na Malaika. wanapiga show nje kama vile sio wabongo, hao wengine hata ya sh elfu 3 kiingilio hawawezi kufanya sababu akili zao full wivu

Haya nasema tu.

Cheers
 
[emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385]

[emoji631] [emoji631] [emoji631] [emoji631] [emoji631]
 
Unamfahamu mtu anaitwa Mr Nice??na unajuwa mafanikio yake na utajiri wake ulikuwaje??sidhani kama ulimfatilia na kujua history yake huyo jamaaa??mtu anaongea na dharau nyingi mara hivi mara hivi muziki utamshindaa ndio maana mwishoni nikasema aache utotoo afanye kazi....
nisimfahamu kwanini wakati nilikua mmoja wapo wa wacheza nyimbo zake..
hawezi kufikia diamond
 
Diamond asikubali kuandaa nani zaidi na Kiba, labda kama amesahau yale makopo na chupa za maji kwenye tamasha la tigo[emoji85]
Kwa nn lkn wanatupa makopo na unahisi team domo hawana huwo uwezo wa kutupa makopo
 
Unamfahamu mtu anaitwa Mr Nice??na unajuwa mafanikio yake na utajiri wake ulikuwaje??sidhani kama ulimfatilia na kujua history yake huyo jamaaa??mtu anaongea na dharau nyingi mara hivi mara hivi muziki utamshindaa ndio maana mwishoni nikasema aache utotoo afanye kazi....
Nn maana ya mafanikio???
 
Back
Top Bottom