FULL LIST: Rais Ruto amefanya uteuzi wa Baraza la Mawaziri, IGP na DCI wajiuzulu

FULL LIST: Rais Ruto amefanya uteuzi wa Baraza la Mawaziri, IGP na DCI wajiuzulu

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1664356677505.png

Leo Sept. 27, 2022 Rais William Ruto amefanya kikao cha kwanza na Baraza la Mawaziri wa Serikali iliyopita na kisha kufanya uteuzi wa Baraza lake jipya linalojumuisha Mawaziri 21 ambao watasimamia Wizara mbalimbali.

Ruto amemteua aliyekuwa Spika wa Bunge la Kitaifa Justin Muturi kuwa Mwanasheria Mkuu na Musalia Mudavadi kuwa Katibu Mkuu wa Baraza la Mawaziri

Pia, Rais Ruto amesema Mkurugenzi wa Idara ya Upelelezi wa Jinai George Kinoti amejiuzulu na hivyo ameagiza Jeshi la Polisi kutangaza nafasi hiyo. Aidha, Rais William Ruto amemteua Japheth Koome Nchebere kuwa Inspekta Jenerali wa Polisi baada ya Hillary Mutyambai kutangaza kujiuzulu.

Katiba ya Kenya inataka Mawaziri kuomba nafasi hizo kupitia Tume ya Utumishi wa Umma (PSC) na kisha PSC itafanya usaili na kuwasilisha majina kwa Rais ambaye atateua anaowataka na kupeleka orodha hiyo Bungeni ili kuidhinishwa.

Hapa ni Orodha yote ya Mawaziri walioteuliwa.

1. Interior Ministry - Prof Abraham Kindiki
2. National Treasury - Prof. Njuguna Ndung'u
3. Public Service Gender and Affirmative Action - Aisha Jumwa
4. Defence - Aden Duale
5. Water Sanitation - Alice Wahome
6. Foreign and Diaspora Affairs - Alfred Mutua
7. Trade, Investment and Industry - Moses Kuria
8. East Africa Community, Arid and Semi-Arid Lands and Regional Development - Rebecca Miano
9. Roads, Transport and Public Works - Kipchumba Murkomen
10. Environment and Forestry - Soipan Tuya
11. Lands, Housing and Urban Development - Zachariah Mwangi Njeru
12. Tourism, Wildlife and Heritage - Peninah Malonza
13. Agriculture and Livestock Development - Mithika Linturi
14. Health - Susan Nakumicha Wafula
15. Information, Communication and Digital Economy - Eliud Owalo
16. Education - Ezekiel Machogu
17. Energy and Petroleum - Davis Chirchir
18. Youth Affairs Sports and Arts - Ababu Namwamba
19. Cooperatives and MSME development - Simon Chelugui
20. Mining, Blue Economy and Maritime Affairs - Salim Mvurya
21. Labour and Social protection - Florence Bore

Other Appointments:

1. Secretary to the Cabinet - Mercy Wanjau
2. Attorney General - Justin Muturi
3. Women Rights Agency Advisor - Harriet Chiggai
4. National Security Advisor - Monica Juma
5. Prime Cabinet Secretary - Musalia Mudavadi

===================

President William Ruto has named his cabinet on Tuesday, with ANC leader Musalia Mudavadi being appointed Prime Cabinet Secretary. Mr Mudavadi will be the most senior officer after the President and his DP Rigathi Gachagua.

Prof Kithure Kindiki has been appointed Interior Cabinet Secretary while Treasury will be headed by former CBK governor Prof Njuguna Ndung'u.

The Head of State also picked Aden Duale as Defence CS, Aisha Jumwa to Public Service and former Machakos governor Dr Alfred Mutua to head Foreign and Diaspora Affairs ministry.

The Lands docket will be headed by Zachariah Mwangi Njeru, Agriculture and Livestock Development by Mithika Linturi and Health by Susan Nakhumicha Wafula.

Dr Ruto named Alice Wahome as Water and Sanitation CS, Moses Kuria as Trade CS while the East African Community Ministry will be headed by Rebecca Miano.

The Roads, Transport and Public Works ministry will be headed by Kipchumba Murkomen while Soipan Tuya has been appointed CS of the Environment and Forestry ministry.

Ms Peninah Malonza will replace Najib Balala as Tourism CS, while Eliud Owalo has been appointed to the Communications docket.

Mr Ezekiel Machogu will replace George Magoha as Education CS as long-term Ruto ally Davis Chirchir heads to the Energy Ministry.

The Youth Affairs ministry will be headed by Mr Ababu Namwamba, Cooperatives by Simon Chelugui and Mining by Salim Mvurya. The Labour ministry will be headed by Ms Florence Bore.

President Ruto promised that other cabinet appointments will follow soon.

Other key appointments

Outgoing Cabinet Secretary for Energy and Petroleum of Kenya, Ms Monica Juma, will be retained by Dr Ruto's government as National security advisor.

Others given plum government positions include Justin Muturi who will be Kenya's next Attorney General while Mercy Wanjau has been appointed to serve as secretary to the cabinet.

NATION AFRICA
 
Rais Ruto ametangaza baraza lake la mawaziri naomba tuwekeeni list hapa tuone nani ni nani ili tuangalie je watamsaidia au ni baraza la ahadi za vyeo?

Nadhani wale walioshiriki kampeni watakua wamepewa kipaumbele kikubwa maana walimpigania na vile sio muongo lazima atakua ametimiza ahadi zake kwao.

Pia aliahidi kuongeza wanawake kwenye baraza lake naimani atakua ametimiza ahadi yake na hapo atakua kafanya kitu cha maana.
 
President William Ruto nominates cabinet members:

1. Prime Cabinet Secretary - Musalia Mudavadi
2. Interior CS- Kithure Kindiki
2. National Treasury CS - Prof. Njuguna Ndung'u
3. Public Service CS - Aisha Jumwa
4. Defence CS - Aden Duale
5. Water CS - Alice Wahome
6. Foreign and Diaspora Affairs CS - Alfred Mutua
7. Trade CS - Moses Kuria
8. East African Community CS - Rebecca Miano
9. Roads, Transport CS - Kipchumba Murkomen.
10. Environment CS- Roslinda Soipan Tuta
11. Housing CS - Zachariah Mwangi Njeru
12. Tourism CS - Peninah Malonza
1. Agriculture CS - Mithika Linturi
14. Health CS - Susan Wafula
17. Information CS - Eliud Owalo
18. Education CS - Ezekiel Machogu
19. Energy CS - Davis Chirchir
20. Sports CS - Ababu Namwamba
21. Cooperatives CS - Simon Chelugui
22. Mining, Blue Economy and Maritime Affairs CS - Salim Mvurya
23. Labour CS - Florence Boore.
 
President William Ruto nominates cabinet members:

1. Prime Cabinet Secretary - Musalia Mudavadi
2. Interior CS- Kithure Kindiki
2. National Treasury CS - Prof. Njuguna Ndung'u
3. Public Service CS - Aisha Jumwa
4. Defence CS - Aden Duale
5. Water CS - Alice Wahome
6. Foreign and Diaspora Affairs CS - Alfred Mutua
7. Trade CS - Moses Kuria
8. East African Community CS - Rebecca Miano
9. Roads, Transport CS - Kipchumba Murkomen.
10. Environment CS- Roslinda Soipan Tuta
11. Housing CS - Zachariah Mwangi Njeru
12. Tourism CS - Peninah Malonza
1. Agriculture CS - Mithika Linturi
14. Health CS - Susan Wafula
17. Information CS - Eliud Owalo
18. Education CS - Ezekiel Machogu
19. Energy CS - Davis Chirchir
20. Sports CS - Ababu Namwamba
21. Cooperatives CS - Simon Chelugui
22. Mining, Blue Economy and Maritime Affairs CS - Salim Mvurya
23. Labour CS - Florence Boore.

Naona kama baraza ni kubwa au sababu hawana manaibu
 
President William Ruto nominates cabinet members:

1. Prime Cabinet Secretary - Musalia Mudavadi
2. Interior CS- Kithure Kindiki
2. National Treasury CS - Prof. Njuguna Ndung'u
3. Public Service CS - Aisha Jumwa
4. Defence CS - Aden Duale
5. Water CS - Alice Wahome
6. Foreign and Diaspora Affairs CS - Alfred Mutua
7. Trade CS - Moses Kuria
8. East African Community CS - Rebecca Miano
9. Roads, Transport CS - Kipchumba Murkomen.
10. Environment CS- Roslinda Soipan Tuta
11. Housing CS - Zachariah Mwangi Njeru
12. Tourism CS - Peninah Malonza
1. Agriculture CS - Mithika Linturi
14. Health CS - Susan Wafula
17. Information CS - Eliud Owalo
18. Education CS - Ezekiel Machogu
19. Energy CS - Davis Chirchir
20. Sports CS - Ababu Namwamba
21. Cooperatives CS - Simon Chelugui
22. Mining, Blue Economy and Maritime Affairs CS - Salim Mvurya
23. Labour CS - Florence Boore.
Asante sana
 
Please andika Kwa English hizo wizara...jinsia na kukubalika???
 
Ruto namkubali sana. Naamini ataiendesha kenya vizuri sana na kwa mafanikio makubwa. Mungu amsimamie
 
Back
Top Bottom