FULL LIST: Rais Ruto amefanya uteuzi wa Baraza la Mawaziri, IGP na DCI wajiuzulu

Wenzetu ndio maana wapo mbele mnooooo
Yaani hadi Vyama vya ushirika wameviwekea wizara yake kabisa,huku kwetu blablah t ,na kubana sauti eti serikali ya awamu fulani,inasiida nn,ujinga mtupu
 
Kwamba kuna Katibu Mkuu wa Baraza la Mawaziri na Katibu wa Baraza la Mawaziri? 😁😁😁😁
 
Ruto namkubali sana. Naamini ataiendesha kenya vizuri sana na kwa mafanikio makubwa. Mungu amsimamie
Amina.
Unaifahamu movie ya the last king of scotland?
Kuna sehemu wakati Eid amin anahutubia umati wa watu wanashangilia kale kamzungu kakamwambia mke wa mchungaji kuwa jamaa anaonekana ana machungu na nchi na raia wanamkubali sana.
Kale kamwanamke kakamjibu, ndivyo siku zote ikavyokuwa afrika anapoingia kiongozi mpya, ila mbeleni mambo uwa tofauti.
 
Hivi hii post ya Prime Cabinet Secretary aka. Prime Minister ipo kwa mujibu wa Katiba yao?
Haipo imelazimishwa tuu hapo,Cha ajabu Ruto aliwahi kupinga hiyo nafasi wakati Kenyatta na Raila walipofanya kura ya Maoni na mahakama ikafuta ule mchakato.
 
Yaani baraza limejaa wote waliomsupport kushinda uchaguzi na watu wake wa karibu. uhuru Kenyatta wakati anaingia madarakani aliweka watu wote wapya for various professional na sio wanasiasa na ilikuwa rahisi kuwabana coz hakuwa na interest zao....Sasa wengi Rutto aliowaweka wengi ni wapigaji...tutegemee wataiba Sana na waoneana aibu kufukuzana. Pili wengi hapo ni wateule magavana na maseneta na wabunge.so itabidi uchaguzi mdogo ufanyike baadhi ya maeneo ,ni gharama kubwa kwa serikali uchaguzi wa marudio...Imagine mtu mpigaji wa tender kama Dualle anapewa wizara ya ulinzi.,.unadhani akiiba Rutto atachukua hatua gani?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…