FULL TEXT: Maelezo ya Ushahidi wa Luhaga Mpina kwa Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson juu ya Waziri Hussein Bashe kusema Uongo Bungeni kuhusu Sukari

Wako wengi
 
Kwani kuna nini mbona mwenyewe yupo zake anakula bata ..
 
Sio tanuru ni tanuri.
 
Mpina amemkalia kooni, lakini naona spika anamkingia kifua kimtindo kwa kumtaka mpina awajibike kwenye kamati ya maadili.
Mwisho kabisa kuna mawili yatatokea ambayo ni Mpina kusimamishwa kushiriki bungeni kwa muda kadhaa ama Bashe atajiuzulu
 
Kama makusanyo ya kumalizia SGR hayatoshi ndo namna tunaingia kusaka pesa kwa nguvu. Muda mwingine tunakaa mezani na kutafakari wapi tupate pesa kiasi fulani hata km kinawaumiza wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…