Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Mwanasheria wa serikali anadanganya kwa mara nyingine tena.... Gavana....
 
naona hadi katika pub watu wamejaa kama ambavyo huwa wanaangalia mpira.

Hakika mkuu unaweza dhani watu wanafuatilia mpira sasa watu wakisalimika sijui kwa wanachi itakuwaje.
 
Mrudisheni Zitto,kadhihirisha yeye sio msaliti,mrudisheni wallah mtachukua nchi 2015,UMOJA NI NGUVU

Victoire

Carry the bigger picture mkuu. Escrow Account ni snap shot tu ya ufisadi mkubwa unaitwa IPTL ambao wako watu hawawezi kukubali ufumuliwe wote.

Hata hilo la Escrow; mbona yote hayasemwi na Kamati zote. Where is the royal family, where is Mkono & Co.

Ukifumua the whole saga ya IPTL utapata majibu... kuna ufisadi watu hawawezi kuibua midomo kuusema. Ndiyo maana operesheni hiyo italenga ufisadi wote. Ukiwemo huo wa Escrow unaozungumzwa nusu nusu sasa.
 
Werema ni mbwa kabisa,yaani anaisaliti nchi yake jamani jamani
 
ag alimwambia gavana kuwa hakukuwa na kodi katika mpunga wa Escrow.

so ag alimpotosha gavana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…