Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Viwavi vya Lumumba mbona sivioni..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tafadhar latiba ya uef. mwenye kujua
pesa ya escrow ni ya umma kulingana na CAG, AG na commissioner of TRA
Duh! Hatuwezi kujenga University japo mbili tu.
Watakuwa wamebandika pale lumumba...tafadhar latiba ya uef. mwenye kujua
Viwavi vya Lumumba mbona sivioni..
Mrudisheni Zitto,kadhihirisha yeye sio msaliti,mrudisheni wallah mtachukua nchi 2015,UMOJA NI NGUVU
naona hadi katika pub watu wamejaa kama ambavyo huwa wanaangalia mpira.
Mrudisheni Zitto,kadhihirisha yeye sio msaliti,mrudisheni wallah mtachukua nchi 2015,UMOJA NI NGUVU
Viwavi vya Lumumba mbona sivioni..
Arsena na Dortmund's
Basel na real Madrid
Amen! Hata Mimi leo nahama chama cha kijani naungana na Zitto popote atakapokwenda!
Kijana jasiri kuliko Pinda!