Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Hawa ma mess wa kibongo hawaelewi mtu wangu, unaweza ukasika fisadi moja linamfinyia kijicho nakumuahidi kitita kizito na yeye akapaisha kweli. Sema chamsingi ni ushindi, iwe kwa kung'ata meno au vyovyote, lakini tuhakikishe kukuwetu anarudishwa tunduni
Tulia wewe malaya wa kisiasa..
hahahaha pale kwenye mgao,hapo watu watazimiambona hawafik patamu
Teh !!!!!Leo nimekaa hapa sebuleni na familia nzima. Wife, mwanagu wa miaka mi 4 shemeji, dada wa nyumbani, house boy, kijana wa jirani na kuna jamaa wawili siwajui vizuri lakini poa tu tutaulizana baada ya repoti hii bungeni!
Usiache mbachao kwa msala upitao..
Zitto ni Msaliti tuu....
Zitto ni hazina kubwa kwa taifa hili.
Werema ni shida. Sioni kama atapona hapa.
Jeuri ya Profesa Muhongo leo iko wapi? Na Mzee Mengi Tv zake zote kakata vipindi anarusha live bunge. Kudadadeki leo ndio atajuwa Dalali amekamata media na media ni power.[/QUOTE
Inauma sana leo hii kuja jua kuna mzalendo aliyetoa ahadi kuwa nchi inatapeliwa alipuuzwa kwa kutimuliwa kazi.
mbona hawafik patamu
Ipo shida pole sana MMEGUSHI
Werema ni mbwa kabisa,yaani anaisaliti nchi yake jamani jamani
Kwa jinsi report inavyoendelea kusomwa naona WEREMA anabadilika taratibu kuwa NYANI na KAFULILA anakuwa BINADAMU