Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Hawa ma mess wa kibongo hawaelewi mtu wangu, unaweza ukasika fisadi moja linamfinyia kijicho nakumuahidi kitita kizito na yeye akapaisha kweli. Sema chamsingi ni ushindi, iwe kwa kung'ata meno au vyovyote, lakini tuhakikishe kukuwetu anarudishwa tunduni

Ndo tatizo tulilo nalo linalotukabili kama taifa mtu akipewa fedha anabadilika na kusaliti summa kwa la escrow lazima warudishe walichoiba tumechoshwa na utapeli kwa nchi yetu
 
Leo nimekaa hapa sebuleni na familia nzima. Wife, mwanagu wa miaka mi 4 shemeji, dada wa nyumbani, house boy, kijana wa jirani na kuna jamaa wawili siwajui vizuri lakini poa tu tutaulizana baada ya repoti hii bungeni!
Teh !!!!!
 
Tangu mwanzo tulionya, hatukusikilizwa...haya sasa!
 
kwenye hotuba ya Zito, naona kuna maeneo mengi sana ambayo nyaraka za kufoji zilikuwepo ikiwa na maana kwamba, kisheria, kuna makosa ya forgery and uttering false document nyingi sana. singasinga huyu anatakiwa akamatwe mara moja tumuone pale kisutu akisulibiwa pamoja na wengine wengi. naongea hivi ili polisi wamkamate kuanzia leo.

katika sakata hili wandugu, kuna watu wengi sana wanatakiwa kuburuzwa pale kisutu wakiungana na wenzao kina Yona na Mramba.

mali za singasinga na account zote pia ziwe frozen, mali za iptl pia ziwe confiscated. mwanasheria mkuu wa serikali ajiuzulu ili nayeye tumuone pale kisutu akisulibiwa.
 
Jeuri ya Profesa Muhongo leo iko wapi? Na Mzee Mengi Tv zake zote kakata vipindi anarusha live bunge. Kudadadeki leo ndio atajuwa Dalali amekamata media na media ni power.[/QUOTE
Inauma sana leo hii kuja jua kuna mzalendo aliyetoa ahadi kuwa nchi inatapeliwa alipuuzwa kwa kutimuliwa kazi.
 
Zito kwenye kiwango chake leo .please Bring back our Zito Kabwe kuteleza siyo kuanguka ,hakika Jina lako litaandikwa kwa wino dhahabu .viva Tanzania
 
Kweli bado sijaamini kama mh. speaker u jasiri kiasi hiki...Nakupongeza kwa kweli, Hongera sana mama kwa ujasiri wako...umeriokoa nchi na hili litakuwa fundisho kubwa sana kwa wengine...endelea mbele, wananchi tuko nyuma yako na kwa kweli umejiandikia historia ya pekee leo na utakumbukwa daima.....hongera mama na timu yako.
 
Kwa jinsi report inavyoendelea kusomwa naona WEREMA anabadilika taratibu kuwa NYANI na KAFULILA anakuwa BINADAMU

Hahaha haaaaa my ribs..... Umeuwa mkuu.... Ameanza kuota manyoya....
 
Back
Top Bottom