Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Jamani angalieni kupitia star tv, Kuna mchanganyiko mzuri wa picha, wahusika wote wanaoneshwa!.
 
Askofu Kilaini na Nzigirwa ndani ya kashfa....
 
Hapa baadhi ya watuhumiwa wa escrow watajua kuwa ule ugonjwa wa kikwete mzuri sana ili nao waumwe na wakatibiwe nje kukwepa hii aibu ya leo

Wamechelewa mkulu wa kaya mjanja akishaona kimenuka nchini huwa anajitaftia ziara za nje mda huu akaona akisema ziara saga lingemkuta akasingizia tezi dume nahisi haumwi
 
Duu watu walienda benki na viroba kubeba pesa!
 
Wamechelewa mkulu wa kaya mjanja akishaona kimenuka nchini huwa anajitaftia ziara za nje mda huu akaona akisema ziara saga lingemkuta akasingizia tezi dume nahisi haumwi

anasikilizia hii ishu kwa mbaaaliiii jk mjanja sana.
 
Watu walienda kubeba hela kwenye maboxi,magunia,mifuko na rumbesa!!

***** sisi watanganyika!!
 
Yupo Italy anaombewa nackia la pili limefura...

ha ha ha ha ha ha ha ha ha!, kudadeki kweli mabusha noma, huyu zitto huyu analeta mazito kweli kamfanya mpaka rais wetu afumuke na tezi jingine tena
 
bank statement ya STANBIC iko waaaaaaaaaaapi wakuuu
 
Hadi sandarusi, lumbesa na mabox looh hawa watu ni mashetwani
 
Back
Top Bottom