Kwa jinsi report inavyoendelea kusomwa naona WEREMA anabadilika taratibu kuwa NYANI na KAFULILA anakuwa BINADAMU
Kwa hali hii litarudia hilo tezi
Hapa baadhi ya watuhumiwa wa escrow watajua kuwa ule ugonjwa wa kikwete mzuri sana ili nao waumwe na wakatibiwe nje kukwepa hii aibu ya leo
muite na Chinga One babu yako aje.
Acha nchecheto. Watu wanasikiliza ripoti kwanza.
AibuuuuuuuAskofu Kilaini na Nzigirwa ndani ya kashfa....
Wamechelewa mkulu wa kaya mjanja akishaona kimenuka nchini huwa anajitaftia ziara za nje mda huu akaona akisema ziara saga lingemkuta akasingizia tezi dume nahisi haumwi
Yupo Italy anaombewa nackia la pili limefura...