msemakweli 1
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 290
- 68
Watu wa ccm hata siku moja hamjiamini, pole sana na bado mwakani mnaangushwa katika uchaguzi.siamini kama imesomwa mungu mkubwa
umeona eeeeh,wakati muhimbili wagonjwa wanalala chiniDuu watu walienda benki na viroba kubeba pesa!
nyuzi zitafumuka aisee!
Wamechelewa mkulu wa kaya mjanja akishaona kimenuka nchini huwa anajitaftia ziara za nje mda huu akaona akisema ziara saga lingemkuta akasingizia tezi dume nahisi haumwi
Watajinyea leo mbwa weusiTetemeko la nchi...
anasikilizia hii ishu kwa mbaaaliiii jk mjanja sana.
Yamegawana hela zetu kwa magunia!!!!!!!