Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

kulingana na kamati ya PAC nimeisoma hadi mwisho hamna sehemu mwanasheria mkuu, waziri wa madini, au katibu mkuu wa wizara ya madini walipewa hela sehemu yeyote

kosa lao ni kwa sababu ni viongozi wa mwisho kwa maamuzi sehemu zao za kazi

Tuzidi kuwapa nyazifa kubwa kwa sababu si wezi bali wanahitaji kujifunza mambo ya uongozi

wote hao kosa lao ni kutosoma mambo ya uongozi
 
Katibu mkuu Wizara anaondoka,..
Halafu alikuwa kinara kuwabana wafanyakazi hapo wizara ya nishati,kumbe yeye anapiga madeal ya mabilioni,wafanyakazi wanashangilia sasa hivi,Muhongo nae alikuwa anawapiga mkwara wafanyakazi kumbe na yeye ni mwizi,WIZARA YA NISHATI NA MADINI WATAKUWA WANASHANGILIA SASA HIVI
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wajanja wanaila hii nchi...

Usiitukuze mijizi hii! Miuaji hii, hebu niambie watu wangapi wamekufa kwa kukosa matibabu kwasababu hospitals zetu hazina dawa? Halafu chenge limelalia billions of dollars kwny kitanda chake? Ni ubinafsi wa kiasi gani huu?
Utajiri wa dhuluma ya uhai wa wengine?
 
Ama kweli wananchi tutaendelea KUWAPIGIA KURA WANASIASA ili waendelee KUPIGA HELA zetu matahira.
 
For sure hadi rambo zilitumika
haki ya nan wafili.siwe
 
Halafu alikuwa kinara kuwabana wafanyakazi hapo wizara ya nishati,kumbe yeye anapiga madeal ya mabilioni,wafanyakazi wanashangilia sasa hivi,Muhongo nae alikuwa anawapiga mkwara wafanyakazi kumbe na yeye ni mwizi,WIZARA YA NISHATI NA MADINI WATAKUWA WANASHANGILIA SASA HIVI

Katibu Mkuu ni jizi Maswi?
 
Back
Top Bottom