Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Report inayosomwa inaeleza A/c za Viongozi watat akiwamo Cardinal Pengo wamepokea mgawo wa ESCROW na Mkombozi Bank ikihusishwa na ufunguaji wa A/C kwa kuweka ela za ESCROW.

Pengo hajatajwa bwana, ni Nzigirwa na Kilaini!
 
Kumbe kauli zote za ubabe,ukali na kebehi toka kwa Prof Muhongo dhidi ya Mengi,wananchi na wafanyabiashara wazaleendo ilikua ni mazingira ya kuendelea kutuibia Watanzania??shame on u Pro!
 
Sasa ndo nimeelewa kwa nini Werema alitaka kurusha Ngumi kwa Kafulira,
hawa watu ingekuwa China kitanzi kilikuwa halali yao ila kwa nchi yetu hii napata uchungu zaidi kwa namna sakata hili litavyoishia.

"MUNGU IBARIKI TANZANIA"
 
Back
Top Bottom