Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Nilipowaambia mafisadi heiiiii shoka limewekwa kwenye mti they could not hear my voice; nikawaambia nipo na miguu yangu imejikita kuzuia ufisadi ili taifa lenye hadhi n heshima yake lirejee they thought was dreaming; nikarudia tena kwenye moja ya thread iliyookoa maisha ya kiongozi mmoja kuwa mwishoni mwa mwaka huu masikio yenu yatawasha they tossed their glasses; sasa nawaambia tena tafadhali halahala mti na macho enough is enough sisi lazima tuile pasaka baada ya krismas I do not know if you would now agree its a new era....

Mwenye sikio na asikie roho ya Mungu aliye hai aliambia Taifa la Tanzania!
 

Hakuna mtu anaweza thibitisha tuhuma za Zitto. Thibitisheni kwanza. Huwezi omba msamaha kama hujakosea.
Natural justice.
 
M*****ndu wako
 
We mjinga, tena zuzu.

Yeye hata kama hakuchukua hata senti moja lakini alijua kila kilichokuwa kikiendelea maana yeye ndiye msimamizi mkuu wa shughuli ZA serikali na akatulia
 
Marry Ngowi, Kamati imependekeza kuwa watuhumiea wafilisiwe, waliopo kazini wafukuzwe kazi na akaunti zao zifungwe na warudishe fedha hizo!
 
Last edited by a moderator:
Hii ripoti hadi sasa inawataja Maswi, Pinda, Sethi kwa majina kama watuhumiwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…