Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Mkuu zile list tulikuwa tunaziona mtaani ni confidential?

Maana niliamini uhalali wake ungelithibitishwa na bunge walau kwa wabunge kupewa, unless uniambie ndani ya ripoti hizo papers za majina zipo....
Mkuu soma report ujionee. Mbona report ipo humu download tu uisome. Kila kitu kiko wazi. Hizo list za mtaani ndizo hizo hasa. Kumbuka JF siyo mtaani
 
Tofauti na Maswi na Werema na kina Mboma wa bodi ya TANESCO, Muhongo hajapendekezwa akamatwe na ashitakiwe, dissapointing.
 
hapa ndipo utakapo jua Dini nini? hao ni viongozi wanahubiri haki lakini wanaibia waumini wao na wanataka sadaka pia. acha kabisa
 
Kilaini na Ngwilizi hamna budi kujitokeza adhalani na kusema pesa mlizochukua zilikuwa za nini.
 
Leo nchi hii imeandika historia. Kweli watu wamechoshwa na ufisadi. Sasa sakata la ufisadi kwenye gesi
 
Yaani benki inakubali watu wanagawana pesa kwenye viroba?? Bora ifilisiwe kama Meridian


Wajanja walijibebea bilioni zao kwenye magunia wakasepa.....

Nani anataka kuacha ushahidi???

Labda wakaombe record ya camera za benki
 
Tusikae kushangilia tu watu wamejiuzulu na kuwekwa wengine. Ndio maana Chenge anaendelea kushiriki kwenye ufisadi kila siku. Rada yumo, na TRC kwa Wahindi yumo na hii Escrow yumo.
Tuwafunge na kuwafilisi hawa ili kuleta nidhamu ya uongozi wa umma, tufike wakati kiongozi atetemeke baada ya uteuzi sio kufanya sherehe kama ilivyo sasa. Wanakera sana.
Ova
 
Bulldog mkuu naona kidogo umeteleza ku quote post yote hio mkuu, na kuandika maneno mawili tu! Maana uzoefu wako na JF sio rahisi umefanya hilo jambo kwa makusudi!
 
Last edited by a moderator:
hayo mapendekezo yangesomwa na Lissu au SUGU, kudadeki nadhani angeharisha mtu pale ndani, Deo amepoozesha sana report
 
hii nchi imeoza. wenye taarifa mtujuze, pinda bado hajang'oka?
 
Mkuu hii imenithibitishia kabisa malalamiko ya sisi upande wa pili yana ukweli ndani yake ila tunapuuzwa, hii inauma sana mkuu na bado M`mungu ataendelea kuwaumbua, huyu ndie Mungu tunaye muamini sisi ambaye hamfichi mnafiki hata ipite miaka mia na zaidi iko siku ataumbuwa tu.
 
Mh Zitto - angalia na hili,

This is Money Laundering of epic proportions - na kwakuwa wavivu wa kufikiri wame wagawia viongozi na wakuu kwa formula, kama nilivyoposti huko nyuma.

Kama ingekuwa si ufisadi, amaunti zingekuwa tofauti tu. Hata kama ni rounding, kama watu walikuwa wanalipwa kwa huduma zao walizotoa, lazima malipo yangetofautiana tu. Vinginevyo huwezi kumlipa mtu bure. Ni wizi.

Mara nyingi Hela za kutakaswa huwa zinagawanywa kwa fomula fulani hivi. Embu wataalamu nihesabie ni watu wangapi wamepokea amaunti hizi hapa chini....

[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD]Base1[/TD]
[TD]40,425,000.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2xBase1[/TD]
[TD]80,850,000.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3xBase1[/TD]
[TD]161,700,000.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4xBase1[/TD]
[TD]323,400,000.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Base2[/TD]
[TD]404,250,000.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2xBase2[/TD]
[TD]808,500,000.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3xBase2[/TD]
[TD]1,617,000,000.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4xBase2[/TD]
[TD]3,234,000,000.00[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Back
Top Bottom