controler
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 1,562
- 361
Pinda wanamuonea tu hana kosa
Si mlisema pesa si za uma nyie maku?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pinda wanamuonea tu hana kosa
Mkuu soma report ujionee. Mbona report ipo humu download tu uisome. Kila kitu kiko wazi. Hizo list za mtaani ndizo hizo hasa. Kumbuka JF siyo mtaaniMkuu zile list tulikuwa tunaziona mtaani ni confidential?
Maana niliamini uhalali wake ungelithibitishwa na bunge walau kwa wabunge kupewa, unless uniambie ndani ya ripoti hizo papers za majina zipo....
haya sasa, wale matutusa wote mliokuwa mnatetea wezi akina faizofoxy MwanaDiwani MSALANI mjepo Agogwe Ritz Mamndenyi laki si pesa Queen P et al hebu jitokezeni muendelee kuwatetea. wapuuzi wakubwa!
Askofu Kilaini sijui atasimamaje mbele ya waumini wake dahh
Kikwete is a failure specialist
Wajanja walijibebea bilioni zao kwenye magunia wakasepa.....
Nani anataka kuacha ushahidi???
Labda wakaombe record ya camera za benki