Mkuu bado unatetea? Ama kweli hizi imani zimetufanya tuwe na ubongo mzito.muumini kumpa pesa mtumishi wa Mungu si jambo geni, kwani ni wangapi ambao tumekuwa tukienda kuwapa misaada viongozi wa dini? hapa naomba tuchunguze kwa umakini au tuwe waangalifu sana katika hili.
Halafu yule alomwita mwenzie tumbili leo yeye ndio kageuka tumbili
naona mambo si mambo; mihimili ya nchi inatikisika!! jeshi liongoze nchi kwa kipindi kilichobakia :baby::baby:
utazitema hela ulizomegewa na singasingaMovie haijaisha mpaka tusikie upande wa pili, hoja za Zitto zimekaa kishabiki shabiki, mapendekezo pia yamekaa kishabiki, mpaka neno dalali alilotumia Mhongo kwa Mengi limerudiwa kuelekezwa kwa Mhongo.
Yote yanajibika tena kiufasaha kabisa.
arudishe hela za watu na afunge domo lakeBaba Askofu,rudisha tu hela
ni kweli yametokea,ni ajali tu!!
Rudisha hela uliyopewa na Ruge
Utakua umefanya jambo la maana sana!!
Askofu Zangu Kilaini Na Nzigiwa Asanteni Sana Sitatoa Sadaka Tena Tena Na Wote Wawili From This Time Naenda Kuwa'unfriend Kule Fb. Very Sad N Disappointed My Faith Has Shaken.
zito ndo nan hapa mpeni sifa zake yule alotukanwa na kuitwa tumbili huku meza zikigongwa.
Mwingine ndio katushtua hapa. Pesa zilizolipwa zote zimefanana... Nyingine zimezidi mara 2, mara 20, mara 40, mara 82. Sasa wote hao sijui walikuwa wana madai sawa. Au ndio fungu la kumi...Mkuu hiyo ni simpo sana. Kama alikuwa anadai ushahidi utaonyeshwa kwamba mtu alikuwa akimdai JR. Ataonyesha alikuwa akidai nini na analipwa nini. Alifanya biashara gani na JR/VIP?na huyo mdai ana biashara hiyo na analipa kodi.
Kwa hiyo mtu kama Askofu Kilaini tutasema alikuwa akimdai JR/VIP sadaka/zaka alizolimbikiza?je sadaka zinalipwa kwa kilaini ama kanisani.
Naongelea uwasilishaji, si huo uchunguzi. Na pia tumesikia upande mmoja mpaka tungoje upande wa pili wanasemaje.
Mpaka sasa sijaona kilichowasilishwa ambacho hakijibiki.
Jamani kwani kunanini bungeni leo mbona kila mtu zito..zito kafanyaje huyu jamaaa na scroo ndio nini wakuu/?Kila mwenye sikio amesikia na mwenye macho ameona kazi iliyofanywa na kamati ya PAC chini ya mwenyekiti mh Zitto Kabwe na makamu wake Deo juu ya Tegeta Escrow Account, hongereni mmekata kiu ya watanzania
Baba Askofu,rudisha tu hela
ni kweli yametokea,ni ajali tu!!
Rudisha hela uliyopewa na Ruge
Utakua umefanya jambo la maana sana!!
Yaah, umefikiria vema lakini ukumbuke pia kamati imejiridhisha pasipo shaka (kwa maneno yao) kuwa hela iliyotoka katika account ya Tegeta Escrow ndo iliyomlipa Rugemalira katika account ya mkombozi. Hela hiyo ni ya umma na inatasfiriwa kama hela isiyo halali (haramu/chafu). Ukilipwa kwa hela haramu kwa sharia ya Anti-laundering money unatuhumiwa kusaidia kuitakatisha fedha haramu.Hivi najiuliza kwa mfano mtu alikuwa anamdai fedha Rugemalira na akalipwa kipindi hicho how do you say kuwa ni fedha za ESCRO? Manake naona kama kamati inachukulia kila aliyelipwa na Ruge ilikuwa ni fedha za ESCRO . I think that's wrong assumption. Kwani Rugemalira ni mfanyabiashara analipa watu kila siku na kwa sababu mbalimbali. Sisemi hakuna wizi ila nasema ni wrong assumption kuassume kuwa kila aliyelipwa eti ilikuwa ni mgao wa ESCROW.
mkuu hii imenithibitishia kabisa malalamiko ya sisi upande wa pili yana ukweli ndani yake ila tunapuuzwa, hii inauma sana mkuu na bado m`mungu ataendelea kuwaumbua, huyu ndie mungu tunaye muamini sisi ambaye hamfichi mnafiki hata ipite miaka mia na zaidi iko siku ataumbuwa tu.