Ndibalema
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 10,955
- 4,656
Mkuu bado unatetea? Ama kweli hizi imani zimetufanya tuwe na ubongo mzito.muumini kumpa pesa mtumishi wa Mungu si jambo geni, kwani ni wangapi ambao tumekuwa tukienda kuwapa misaada viongozi wa dini? hapa naomba tuchunguze kwa umakini au tuwe waangalifu sana katika hili.
Inaonekana hata siku ukimkuta askofu anafanya mapenzi na mkeo utajiaminisha kuwa askofu anapewa sadaka.