Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Taarifa za kuaminika toka ikulu nikuwa tayari Pinda, Tibaijuka, Mhongo na Maswa wameshawasilisha barua za kuachia madaraka na wanasubiri tu baraka za mamlaka ya uteuzi tu.
 
Deo + Zitto Na kamati mzima tunawapa pongezi Sana kwa kuwa wazalendo kwa taifa Hili.
 
Zitto, Kafulila, PAC Mungu hawape maisha marefu kwa kutekeleza wajibu wenu.

Hivi wewe si mmoja kati ya mliokuwa mnawatetea PAP kuwa ni watu wema?umeme utakuwa bei rahisi?acha unafiki
 
Baba Askofu,rudisha tu hela

ni kweli yametokea,ni ajali tu!!

Rudisha hela uliyopewa na Ruge

Utakua umefanya jambo la maana sana!!
Pope John Paulresigned with nothing,hakuwa hata na kijiko..now look at Religious Thug..shame on you au ndo Freemason?
 
Hawa kina yona na Chenge wamezidi wizi.Kila kashfa ya pesa ndefu taifa hili, wako wenyewe, hawatosheki?
 
Mbonqa hii iko wazi kabisa. Hakuna ushiriki wa moja kwa moja wala wa hisia wa kanisa katika sakata hili bali baadhi ya watumioshi wa kanisa kwa tamaa zao wenyewe. Kanisa lazima litawashughulikia kufuatana na sheria zake. Siyo mara ya kwanza watumishi walsio waaminifu kuingia katika kashfa za pesa kupitia vyombo vya kanisa kwa maslahi yao wenyewe. Wamiliki wa Mkombozi siyo Kilaini ila kwa hali hii menejimenti ya benki ya mkombozi lazima iwajibike na siyo mmiliki.
Kutakuwa na reaction zenye ushabiki wa kidini wa kuihusisha imani katoliki na tamaa na tabia cha
Kanisa wala halijaaibika

Aloaibika ni kilaini na mwenzie

Yuda alipokea vipande 30 akamuuza yesu mnashangaa hao....

Pesa ni shetani ooh
 
Kwanza naona kuwa watu wakuu wakuwabana kurdisha pesa za askrow ni Rugamarila wa VIP na singasinga wa PAP. hawa wengine kama wakina muhogo na wengine ni wazi kabisa rushwa imetembea vibaya lakini wengi wao wamekuwa wajanja katika kuficha jinsi walivyozipokea. Pia kuna wengine labda hata hawakujua kwamba hizo pesa walizopewacni pesa chafu, mfano hawa maaskofu wetu.

Kwa mantiki hii naona viongozi wengi waliohusika katika haya wanapaswa kuwajibika lakini ndio watatokackwenda kula pesa zao tu. Kuwafunga itakuwa ngumu. Kuwadai hawa watu wengine kunawezekana lakini anayepaswa kuwadai ni rugamarilwa.

Mwisho sioni lolote llikifanyika.
Nakuunga mkono. Kwa mapendekezo hayo ya PAC tutaona na kusikia kelele nyingi kesho katika mjadala na pengine kupitisha mapendekezo hayo lakini hatutaona utekelezaji wake.
 
Kilaini kavuta mzigo kiulainiiii..sijui alinunulia mbuzi katoliki!,mazafanta
 
Ni kweli Mkombozi Bank ni ya kanisa na moja ya dhambi katika kanisa ni wizi na udanganyifu. Ifahamike kwamba bank hii inaendeshwa sawa na bank zingine chini ya usimamizi na miongozo kutoka central bank.
Kama kuna statutory/regulatory requirements ambazo Mkombozi Bank haiku comply wakati wote wa kufunguliwa kwa accounts na kufanya hizo transactions in question, naomba ziwekwe hapa tujadili. Vinginevyo hatutatukuwa tukiwatendea haki tukiwahukumu kuwa ni wakosa wakati hakuna kosa lililobayana ambalo wao kama bank wamelifanya.

Kuhusu askofu Kilaini na mwenziye, ni kwwli fedha walipokea. Mwenye ushahidi kwamba ffedha hizo walizipokea kwa niaba ya kanisa ama kanisa liliwatuma kuwa na huo ubia, aweke hapa. Kinyume na hapo ifahamike kwamba Kilaini ni viongozi wa kanisa lakini wao si kanisa. Ndiyo maana sheria imebainisha ni wakati gani mtumishi atahesabiwa kafanya kosa la kikazi linalomhusisha mwajili anayemwakilisha, ni wakati gani anakuwa ame commit personal offence, hata kama ni mtumishi.

NINAOMBA TUZITENDEE HAKI DHAMIRA ZETU KWA KUCHAMBUA HOJA KATIKA MISINGI YA UKWELI SAHIHI BADALA YA EMOTIONS NA MISUKUMO YA UTASHI WETU.

Tuko pamoja.


Kanisa latumika kutakatisha fed ha chafu lol!JK chaguo la MUNGU
 
Mi nangojea jambo moja tu, hizo hela zitarudishwa na wahusika kuwajibika?
 
Samahani wadau mimi sijaona Pinda, Muhongo, Maswi, Werema, Ndulu, na Mbowe wanavyhusika. Sijaona hii report ikibainisha hela zinazopaswa kurudi.
 
Back
Top Bottom