uaminifukazi
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 1,467
- 916
Zitto, Kafulila, PAC Mungu hawape maisha marefu kwa kutekeleza wajibu wenu.
Huu ujumbe uwafikie wanafiki #MCHAMBUZI , NGURUVI3 and Co.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zitto, Kafulila, PAC Mungu hawape maisha marefu kwa kutekeleza wajibu wenu.
Hahahaaaaa
Zitto, Kafulila, PAC Mungu hawape maisha marefu kwa kutekeleza wajibu wenu.
Pope John Paulresigned with nothing,hakuwa hata na kijiko..now look at Religious Thug..shame on you au ndo Freemason?Baba Askofu,rudisha tu hela
ni kweli yametokea,ni ajali tu!!
Rudisha hela uliyopewa na Ruge
Utakua umefanya jambo la maana sana!!
kumbe mwalimu...akafundishe huko!Kumbe Prof Muhongo ni Msukuma, msukuma gani ana dharau kiasi kile? Mbwa yule arudi akashike chaki huko shuleni
Zitto, Kafulila, PAC Mungu hawape maisha marefu kwa kutekeleza wajibu wenu.
Kanisa wala halijaaibika
Aloaibika ni kilaini na mwenzie
Yuda alipokea vipande 30 akamuuza yesu mnashangaa hao....
Pesa ni shetani ooh
Sheria ipi ya Tanzania ambayo haimpi mtuhumiwa haki ya kutoa utetezi wake?
Nimeshuhudia tundu Lissu akimpigia makofi zitto kabwe na kumpatia mkono wa pongezi mara baada ya kumaliza kusoma report PAC, siasa tamu sana
Nakuunga mkono. Kwa mapendekezo hayo ya PAC tutaona na kusikia kelele nyingi kesho katika mjadala na pengine kupitisha mapendekezo hayo lakini hatutaona utekelezaji wake.Kwanza naona kuwa watu wakuu wakuwabana kurdisha pesa za askrow ni Rugamarila wa VIP na singasinga wa PAP. hawa wengine kama wakina muhogo na wengine ni wazi kabisa rushwa imetembea vibaya lakini wengi wao wamekuwa wajanja katika kuficha jinsi walivyozipokea. Pia kuna wengine labda hata hawakujua kwamba hizo pesa walizopewacni pesa chafu, mfano hawa maaskofu wetu.
Kwa mantiki hii naona viongozi wengi waliohusika katika haya wanapaswa kuwajibika lakini ndio watatokackwenda kula pesa zao tu. Kuwafunga itakuwa ngumu. Kuwadai hawa watu wengine kunawezekana lakini anayepaswa kuwadai ni rugamarilwa.
Mwisho sioni lolote llikifanyika.
Kanisa latumika kutakatisha fed ha chafu lol!JK chaguo la MUNGU
Zitto, Kafulila, PAC Mungu hawape maisha marefu kwa kutekeleza wajibu wenu.
Nani anaamini Pinda kama waziri mkuu kesho atatangaza kujiuzulu