Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Niliwaona,,,,Vipi jamani, mliopo mjengoni mtujuze hawa maji tajwa yapo mjengoni? au wamesepa? Pinda, Muhongo, Werema,nk.
Hadi PHD YAKE ALIDANGANYA,Mwambieni awaonyeshe thesis yakeSiamini kama Mhongo ni mwongo hivi......
PAC inamwadhiri wallah
Nchi leo inatikisika...
Namna gani umeme unakatwa hapa Mwanza,
mbunge machachari wa bunge la JMT.anaendelea kuchambua ripoti ya PAC kuhusu akaunt ya tegeta escrow.kipi kitafuata baada taarifa hiyo