Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Eti mtoto wa mkulima,mstaarabu machoni......
Kumbe moyoni anatisha hata gaidi anaafadhali..
 
Pasco....


Mheshimiwa Spika,
umiliki wa hisa unakamilika pale ambapo
muuzaji anamkabidhi mnunuzi Hati ya hisa husika, vinginevyo
mnunuzi anakuwa amenunua "hisa hewa". Pamoja na ukweli huu
bado Piper Links tarehe 21 Oktoba, 2011 ilimuuzia PAP hisa zile
saba kwa gharama ya USD 20 milioni. Swali linalojitokeza hapa ni
kuwa unawezaje kuuza kitu usichonacho? Ni wazi kuwa kwa kuwa
Piper Links hakuwa mmiliki halali wa hisa saba (7) za Mechmar
kwenye Kampuni ya IPTL alichonunua PAP ni "hisa hewa" na
kumiliki Kampuni hewa.
 
Last edited by a moderator:
Hawa akina ZITTO jana usiku hawajalala wamekesha ofisi za bunge kulinda report yao, ila maisha yake bila shaka yatakuwa matatani. Akumbuke kilichomkuta MWAKYEMBE

Yaani Zito ni kijana mzalendo no 1! Hakuna cha January makamba wala mjusi yoyote!
Tutamuombea Mungu alimnde na husda za mafisadi! Zito hoyeeeeeeeeeeeeeee
 
Mwanasheria mkuu, waziri wa nishati na wazirimkuu wamesema uongo
 
Mheshimiwa Spika,
Kutokana na mahojiano kati ya Kamati na
Kamishina Mkuu wa TRA ilibainika kwamba Kampuni ya Piper Links
haijulikani sio tu British Virgin Islands bali hata nchi nyingine.
20
Kamati haielewi ni jinsi gani taasisi kubwa kama Benki Kuu ya
Tanzania, Wizara ya Nishati na Madini, Wizara ya Fedha, Ofisi ya
Mwanasheria Mkuu wa Serikali na nyingine zilizohusika katika suala
hili, na ambazo tunaamini zimesheheni Watendaji wenye weledi,
zimewezaje kushindwa kufanya uchunguzi wa kina (
due diligence)
ambao ungewezesha utata huu kugundulika na kuepuka
kudanganywa na PAP.
 
Back
Top Bottom