Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Warema aliikosesha serikali billion 23 kama kodi!
 
mlokuwa mnawatetea mkombozi bank mje sasa, mshaambiwa kuwa kuna miamala imefanyika kinyume na utaratibu wa bank kuu
 
Report inayosomwa inaeleza A/c za Viongozi watat akiwamo Akofu Kilaini wamepokea mgawo wa ESCROW na Mkombozi Bank ikihusishwa na ufunguaji wa A/C kwa kuweka ela za ESCROW.
 
3.2.1 Mheshimiwa Spika, Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa
(TAKUKURU) na Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI) mara moja
wachukue hatua ya kumkamata Bwana Harbinder Singh Sethi na
kumfikisha mahakamani kwa makosa ya Anti money laundering,
ukwepaji kodi na wizi. Kamati pia inaelekeza Serikali kutumia
sheria za Nchi, ikiwemo sheria ya ‘Proceeds of Crime Act’
kuhakikisha kuwa Bwana Harbinder Singh Sethi anarejesha fedha
zote alizochota kutoka Benki Kuu ya Tanzania. Kwa kuwa suala hili
ni suala la utakatishaji wa fedha haramu, Mamlaka ziwasiliane na
mamlaka za Nchi nyingine kuhakikisha mali za Bwana huyu
zinakamatwa na kufidia fedha hizo.
 
Mbona sijasikia jina la Mbowe?Ha ha ha ha Magamba hili zigo ni lenu.
 
Report inayosomwa inaeleza A/c za Viongozi watat akiwamo Cardinal Pengo wamepokea mgawo wa ESCROW na Mkombozi Bank ikihusishwa na ufunguaji wa A/C kwa kuweka ela za ESCROW.

Sio pengo, ni askofu kilaini
 
Back
Top Bottom