nyumbatatu
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,076
- 939
Jamani nimemwona pinda!, kazeeka ghafla, ving'ora ndo basi tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu CCM demaged beyond repair.hakuna jinsiMuhongo anacheka tuu na dharau zake!
My lawyer hebu piga picha uko na kiroba umebeba pesa za escrow!!!
Sijawahi tangu nizaliwe sasa wengine wanapogawana pesa kwenye magunia inaleta hasira
We umewahi??
CCM inakwenda kufa rasmi..
Sijawahi tangu nizaliwe sasa wengine wanapogawana pesa kwenye magunia inaleta hasira
We umewahi??
muhongo ndio aajue kuna watu sio wa kulumbana nao nchi hii,mengi si mtu wa mchezo amu ulize comrade wilson masilingi.
muhongo ndio aajue kuna watu sio wa kulumbana nao nchi hii,mengi si mtu wa mchezo amu ulize comrade wilson masilingi.
Gwanda ni vazi la kizalendo...
wabongo tunatisha kweli,lumbesa na magunia yote yanasomba hela tu! wapi askofu kilaini a.k.a mzee wa 80.4m!