Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona jina lako linafanana na walioenda na viroba!!!?yani sikualikwa nikaenda na kiroba changu duuu
HOE ulishawahi kubebea hata kwenye bahasha ya khaki??
Wakuu Kilaini Ni Askofu Wa Dhehebu Gani?
Kwa kusoma taarifa ya kamati au?
My daughter na wewe leo umekuja huku? Ha ha haaaaa kweli pesa za escrow zimetugusa wengiUtatumia treni la mwakyembe...
Wakati wenzao wanabeba pesa kwa mafuso na viroba hii nchi ni janga
sasa nimeelewa kwa nini kikwete hataki kurudi nyumbani
IPTL WIZI MTUPO,my Tanzania jamani,we need uongozi mpyaaaa
Mengi Tv zake zote amekata vipindi anarusha live.
Wakuu Kilaini Ni Askofu Wa Dhehebu Gani?
muhongo ndio aajue kuna watu sio wa kulumbana nao nchi hii,mengi si mtu wa mchezo amu ulize comrade wilson masilingi.
Transaction moja 73 bilion...jamani!!!!