Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Mchezo mchafu, haramu uliogubikwa na ufisadi.....
 
...loh ni hatari: waliohusika ni vigogo wenye
majina makuba nchini... walibeba
fedha hizo kutoka benki katika mifuko ya
lambo!
 
Sasa ndo nimeelewa kwa nini Werema alitaka kurusha Ngumi kwa Kafulira,
hawa watu ingekuwa China kitanzi kilikuwa halali yao ila kwa nchi yetu hii napata uchungu zaidi kwa namna sakata hili litavyoishia.

"MUNGU IBARIKI TANZANIA"
Mungu atabariki vipi nchi ilojaa uchafu wa namba hii. Nina wasiwasi na dua zetu kwa Mwenyezi Mungu.
 
huyu anesoma mapendekezo ya kamati anasoma taratibu ivo kwa nusu saa tutapata kitu kweli?
 
bil.78 zilitolewa kinyume na sheria, kwa hili PENGO anapaswa aende lumande.
Acha umbea we bhahau Pengo katajwa wapi au unasikiliza kwa macho uku ukiangalia kwa masikio..
 
Back
Top Bottom