sasala
JF-Expert Member
- Oct 22, 2013
- 372
- 264
Ripoti imeandikwa kwa utaalamu sana, I hope serikali yangu ya CCM itawajiba vilivyo, ni pigo sana kwangu binafsi kama mwanaCCM ila ni ukweli usiopingika kwamba hapa wenzangu wameshikwa bila chembe ya hiana.
Ila nimesikitika kwamba kuna baadhi majina watu ya waliopata fedha hizi hayakupatika, hapa naanza kupata shaka kama ni mkuu wa kaya au vipi? mbona majina hayapo na PAC hawajaweka msisitizo kwenye hilo?