Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Hahahaa haaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu majina yalioyoonekana yametajwa yote hata Saliboko katajwa, Kimiti katajwa, Kilaini katajwa, chenge katajwa, mama wa TRA katajwa, prof. Tibaijuka katajwa.
Pamoja na yoote hayo ila wahakikishe tu kuwa hizo fedha zetu zinarudi. Hilo ni la msingi kuliko yote.
Nimesikia na kuona Majina mengi ya waliokula mlungula, lkn Sijaona Waziri Muhongo ameingiziwa ngapi ningependa kujua, kwa maana huyu ndio Ring leader mwenyewe akifwatiwa na Kikwete!
Tangu nianze kufatilia Bunge leo ndio naona limewahi kuisha kuliko maelezo