Full Time: AFL: Al Ahly 0-0 Mamelodi Sundowns (Agg 0-1) | Cairo International Stadium | 01.11.2023 |

Full Time: AFL: Al Ahly 0-0 Mamelodi Sundowns (Agg 0-1) | Cairo International Stadium | 01.11.2023 |

Style yao madefenda wa Sundowns Mamelodi itawakosti, waache kumchezesha sana kipa Williams

Al Ahly wamekwishaona style hiyo na walikuwa wamalize mchezo kwa penalti.
 
Update zimekuwa chache sana ambao hatuangalii game tunakosa kinoma yani
 
Sundowns walikuwa wanafanya shambulizi la kushtukiza lakini limezimwa ghafla
 
Freekick wanapiga Mamelody

Mpira umedhubitiwa na Al Ahly
 
Al Ahly wakiwa wameliandama lango la Mamelody
 
Mamelody wanafanya kazi kubwa sana ya kuzuia mashambulizi ya hatari yanayofanywa na Al Ahly

Bahati nzuri ni kwamba Offside zinawasaidia
 
Back
Top Bottom