Full Time: AFL: Al Ahly 0-0 Mamelodi Sundowns (Agg 0-1) | Cairo International Stadium | 01.11.2023 |

Full Time: AFL: Al Ahly 0-0 Mamelodi Sundowns (Agg 0-1) | Cairo International Stadium | 01.11.2023 |

Watu wanaanzisha uzi wa updates alafu update zenyewe hawaweki
 
Al Ahly wanakosa goli hapa baada ya kupigwa cross ukababitza ila umekula chuma dah
 
Kuna kitu cha kujifunza wing backs za ligi yetu ya NBCPL..Dhidi ya timu kubwa za wenzetu.
Sio kupiga tu na Kross ya gombania goli..

Hapa nawazungumzia akina KAPOMBE SHOMARI
 
niko mbali na tv ila kwa uzembe wa wanao tizama game na hawatoi updates naamua kutoa zangu za kichwani tu
 
Back
Top Bottom