Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KafanyajeDah! Huyu mwamba
Al Ahly mpaka dakika ya 32' ya mchezo unaoendelea wamekosa nafasi 5 plus ile ya penalti, mambo magumu lakini mpira chochote kinaweza kutokea tukashangaa Mamelodi wakiibuka na ushindi katika mechi hii mwisho wa dakika 90' za mechi hii moto.
Azam inaonyesha hii match mkuu?Mamelody nao wameamua kuoanda kushambulia
Ongeza sauti weweAl Ahly mpaka dakika ya 32' ya mchezo unaoendelea wamekosa nafasi 5 plus ile ya penalti, mambo magumu lakini mpira chochote kinaweza kutokea tukashangaa Mamelodi wakiibuka na ushindi katika mechi hii mwisho wa dakika 90' za mechi hii moto.