Full Time: AFL: Al Ahly 0-0 Mamelodi Sundowns (Agg 0-1) | Cairo International Stadium | 01.11.2023 |

Full Time: AFL: Al Ahly 0-0 Mamelodi Sundowns (Agg 0-1) | Cairo International Stadium | 01.11.2023 |

Balaa hapa...
Go go go...
Mamelody
 
Al Ahly bado wanaendelea kushambulia
 
Freekick wanalata Al Ahly karibu na mstari wa penati box
 
Kwa miaka karibu miwili mfululizo, sijawahi kuona mamelodi ameondoka uwanjani akiwa amefungwa na mpinzani yeyote iwe club bingwa au ligi ya home, mara nyingi anatandika tu na mara chache snaa ni droo, ngoja tuone leo.
 
Freekick ilitaka kuzaa goli kipa amedaka mpira
 
Dakika 69' Karbaha wa Al Ahly anakula kadi ya onyo ya njano kwa foul yake kwa kipa Williams wa Mamelodi.

Ubao unasomeka Al Ahly 0 - 0 Sundowns
 
Back
Top Bottom