cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Najuaga Mamelodi huwa ni fungu la kukosa, alipopewa penalty Al ahly nililiaa mie.VAR ilikuwa kwa ajili ya Al Ahly
Walipokosa nilikua nasali wasifungwee, nashukuruu wamepita na kuingia Final.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najuaga Mamelodi huwa ni fungu la kukosa, alipopewa penalty Al ahly nililiaa mie.VAR ilikuwa kwa ajili ya Al Ahly
Huyo Mwarabu anaekuvalia msuli kwetu sisi ni mlenda tuu.Subiri baada ya mechi yao na Uto ndo uje ukazie Ulichoandika leo.
Kaa kimya
Kabisaa aiseeeKipa leo apewe binti wa kiarabu
Acha uongo we churaAl Ahly hajawahi kumfunga Mamelody iwe kwake au popote pale.
Mwenyewe nilitaka kuondoka Banda umizaNajuaga Mamelodi huwa ni fungu la kukosa, alipopewa penalty Al ahly nililiaa mie.
Walipokosa nilikua nasali wasifungwee, nashukuruu wamepita na kuingia Final.
Lete takwimu
Huyo Mwarabu anaekuvalia msuli kwetu sisi ni mlenda tuu.
Inashangaza sana team inasajili wachezaji kwa bei ghali ulaya ila inatafuta matokeo nje ya uwanja inafikirisha.Sijaona umuhimu wa VAR, ilikua inachagua upande wa kutazama makosa.
UmekaririVAR ilikuwa kwa ajili ya Al Ahly
Hata usipowapenda hao ndio the best club in afrika, angalia records zake halafu ulinganishe na hao mamelodiNajuaga Mamelodi huwa ni fungu la kukosa, alipopewa penalty Al ahly nililiaa mie.
Walipokosa nilikua nasali wasifungwee, nashukuruu wamepita na kuingia Final.
Nimefurahii mnoo Mamelodi kuingia Final.
Masandawanaaaaaaaa!!!
AaahhhhaaSisi mashabiki wa Simba tunafurahi Ahly kutolewa[emoji6]
Kina yao yao 7Khuliso Mudau ni bonge la fullback
Pole Sana mwamba..Kila la heri Al ahly, nawaombea ushindi dhidi ya mamelodi
Wee nitolee stress zako hapaa, kutolewa mmetolewa muendelee na league ya Misri.Umekariri
Hata usipowapenda hao ndio the best club in afrika, angalia records zake halafu ulinganishe na hao mamelodi
Pole sana, atakutana na wydad
Nilifungwa???Mbona wewe ulirukaruka kwa Mkapa na Cairo na ukatolewa?
Huna tofauti na Sabaya weweHuna tofauti na Bashite wewe [emoji23] [emoji23]
Tunajua wewe ni mwanasimbaUmekariri
Hata usipowapenda hao ndio the best club in afrika, angalia records zake halafu ulinganishe na hao mamelodi
Pole sana, atakutana na wydad
Kama Al AHLY alivyoruka ruka south Africahawa masandawana walienda kurukaruka tu uwanjani
Mamelodi haijawahi kumfunga wydad tangu ianzishwe.!!Wee nitolee stress zako hapaa, kutolewa mmetolewa muendelee na league ya Misri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] masandawanaaaaa bado tupoo sanaaa.
Wydad hatumuogopiiii kamwee.
Kumbe ulifanywaje?Nilifungwa???
Tulia
Mwenyewe nilitaka kuondoka Banda umiza