Full Time: AFL: Al Ahly 0-0 Mamelodi Sundowns (Agg 0-1) | Cairo International Stadium | 01.11.2023 |

Full Time: AFL: Al Ahly 0-0 Mamelodi Sundowns (Agg 0-1) | Cairo International Stadium | 01.11.2023 |

Mamelodi alinyimwa penalti ya wazi kabisa !
Yote kwa yote nimefurahi Ah Ahly ametolewa .
Walikuwa Wanasubiri mbeleko ya refa dakika za lala salama var ikawaumbua.
Aliyegundua var Kweli Ana maarifa mengi na kama sio bao la Frank lampard kusawazisha dhidi ya ujerumani Kwenye Euro likakataliwa pengine tusingeona var kwenye football au ingechelewa kuingizwa.
Uwanja wa Cairo uliojaa watu 50000 dakika za mwisho ulikuwa kimya kama hakuna washangiliaji.
Hakika mamelodi alikaza sio Suala la mchezo Al ahly kutolewa kwake.
 
images (5).jpeg
chuma cha pua hiki hapa, waarabu watasimulia
 
Back
Top Bottom