dhk1
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 937
- 556
😂😂😂😂Al Hilal wananihujumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂Al Hilal wananihujumu
sijajua ila amesogelea nafasi ya kufuzu klabu bingwa sio shirikisho sema klabu bingwaKwa hiyo Utopolo iko nafasi ya ngapi mpaka sasa kwenye kundi?
Mkuu kwani mechi imeisha? Hizi mambo andika FTYanga kwenye mechi za maamuzi wanakuaga mbogo
Hahahaha. Utadhani uzi wa kimasiharaMod tunahitaji kitufe cha Live hebu.
Bado anapiga mswaki ndo amemaliza kula anakuja.Mod tunahitaji kitufe cha Live hebu.
umeona mpira, achana na wale mabwana miti waliopita
Kila la kheri Timu ya Wananchi tunachohitaji ni Points tatu.
DaimaMbeleNyumaMwiko.
Ngoja nilale sasa, nikiamka asbh ubao utakuwa unasoma 1-1 au 2-1🤣😂Kwani hulali leo Mtani. 🤣
Kufuzu kwenda wapi? Safari yao inaishia leosijajua ila amesogelea nafasi ya kufuzu klabu bingwa sio shirikisho sema klabu bingwa
Umelala mkuuKaribuni katika Matchday 5 Kati ya Al Hilal Omdurman' na Yanga katika dimba la Stade de la Capitale lililoko mjini Nouakchott, Mauritania, mechi hii itachezwa saa 4 usiku kwa saa za Africa Mashariki (1900Hours GMT/UTC)
Nini kitatokea katika mechi hii ambayo Yanga anahitaji matokeo ya ushindi zaidi ili ajiweke mguu sawa kutinga Robo fainali ilihali Al Hilal wanahitaji sare kufuzu hatua inayofuata na kuongoza kundi?
Kuwa nami mwanzo, kati hadi mwisho wa mchezo huu..
#TotalEnergiesCAFCL
Kama baiskeli ya kunolea visu,kelele nyingi iko hapo hapo.Ila bado nafasi ya 3
Yule mwamba alifanya tukupoteze jukwaani Aka 2 na unusuHell No, tuliza akili ukasome kwa umakini nilichoandika na ulichojibu.
Wakikaza Leo mechi na mwarabu kwakua watakua mkapa, wanaweza kufuzuHata mkishinda bado mtakuwa nafasi ya tatu na mnamaliza na mwarabu ambaye naye anataka kufuzu
mechi ishaisha iyo mzeeMkuu kwani mechi imeisha? Hizi mambo andika FT