Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025

Yeah
Whatever, ila saed amejitahidi kurudisha kiwango cha timu na mchezaji mmoja mmoja
Kibwana shomari alishapotea kwenye ramani chini ya gamondi
Nkane kageuzwa kua beki
Farid mussa tulishamsahau
Azizi K na pacome walikua wanatukanwa kila mechi
 
Acha upumbavu wewe, mbona wakati namsifia hukusema haya?
Yani afanye maamuzi ya kipuuzi ya kumfukuza kocha nimsifie badala ya kusema ukweli?

Hersi ataondoka ila Yanga itabaki, na mimi ni shabiki wa Yanga sio Hersi.
Ulisema hautasapoti timu kisa Gamondi kufukuzwa vipi kilichokuleta ni nini? Subiri Gamondi apate timu umfate kwenye timu yako. Kitendo cha kumsifia unadhihirisha kuwa wewe ni shabiki mnafiki. Umemtusi sana kocha huyu pamoja na uongozi wa Yanga risiti zako zimo humu.
 
Kwahiyo unatakaje?
 
Acha upumbavu wewe, mbona wakati namsifia hukusema haya?
Yani afanye maamuzi ya kipuuzi ya kumfukuza kocha nimsifie badala ya kusema ukweli?

Hersi ataondoka ila Yanga itabaki, na mimi ni shabiki wa Yanga sio Hersi.
Hayo uliyoona wewe ni maamuzi ya kipuuzi, ndio wengine tunaona matunda ya hayo maamuzi kwasasa. Kibwana huyo hapo anakiwasha, wakati Gamondi alitaka kuua uwezo wake.
 
Hayo uliyoona wewe ni maamuzi ya kipuuzi, ndio wengine tunaona matunda ya hayo maamuzi kwasasa. Kibwana huyo hapo anakiwasha, wakati Gamondi alitaka kuua uwezo wake.
Sikia nikwambie, niliyosema mimi ni mimi na sikumsemea yeyote.

Siko hapa kukufurahisha.
 
Kipi kinakupa jeuri ya kuamini kuwa Gamondi angefanya vizuri ili hali wote mashahidi tumeona timu ya Gamondi iki struggle uwanjani kupata matokeo kwa timu za daraja la kati na chini kwenye NBC? Ikishinda ni kwa tabu tena goli moja tu kwa vitimu kama Ken Gold, n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…