Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025

Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025

Al Hilal wana mpira wa kasi sana wakiwa ndani ya box kwa mashambulizi ya kustukiza, Yanga wawe makini

1736711466307.png
 
Hili la kuhongana mbona lilishasemwa kabla ya hii mechi kuanza.
kwamba kipa amehongwa aachie hilo goli

kwa goli lile hata ukisema wamehongwa wanakushanga

Kwa moto wa kilimugisha unathubutu vp kusema amehongwa mtu
 
Back
Top Bottom