Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

😁😁😁😁..

Game nzuri, lakini ninachokiona hapa ni Simba ijitafute ipate chemistry mapema sio kutegemea wakina Valentino mashaka😁,
Lasivyo vita ya nafasi ya pili itakuepo kubwa😁😁, yanga Sina wasiwasi nao maana wanadhamini timu 6 ligi kuu, Azam Wana timu🔥🔥
 
Kumbeee hapo umeeleweka...
 
Back
Top Bottom