Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

Dakika ya 30'

Mechi hii ya kiwango cha kimataifa inagawa ni Community Shield 2024, timu yangu Azam FC wafunge hao watu wa Jangwani
 
Eti wanashangilia la kujifunga, hawa uto vipi hawa
 
Hawa Wayatimbe tu kama Makolo , Fei ameshatutibua hakuna namna.
 
Back
Top Bottom