BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 9,121
- 20,814
Tunawalipia kisasi Coastal
Kwahiyo unataka tulie? We kolo vipi?Eti wanashangilia la kujifunga, hawa uto vipi hawa
Kwisa.... kwisa kabisa in Moi's voiceKwishaaaaa
Tumemkanyaga mtu tatuuuu😜
Kwani unanionea wivu?😂😂😂Huu mwaka usiponenepa basi kuna mkono wa mtu
Turudi kwenye uzi wa mwasibuMobeto amemuharibu mchezaji wetu.