Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

niliwaambia hapa Feisali atakimbia uwanja
Huyo dogo aende Simba ambako ipo siku atafurahi na kuwadhihaki Yanga kama atakavyo na si hapo Azam.
Simba itaifunga yanga hivi karibuni,ni suala la muda tu
 
Azam hivi wanachokosa ni nini? Usajili mzuri ila ni kama hawaelewani? Tatu za chap na wataongezwa
 
Azam wameona isiwe tabu wawasaidie utopolo kufunga
 
Back
Top Bottom