Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

Yanga wameshindikana wazee πŸ™ŒπŸ™Œ ,kila kitu levels aiseeee....Naona wivu kinoma noma yaani 😑😑
 
😁😁😁😁..

Game nzuri, lakini ninachokiona hapa ni Simba ijitafute ipate chemistry mapema sio kutegemea wakina Valentino mashaka😁,
Lasivyo vita ya nafasi ya pili itakuepo kubwa😁😁, yanga Sina wasiwasi nao maana wanadhamini timu 6 ligi kuu, Azam Wana timuπŸ”₯πŸ”₯
 
Kumbeee hapo umeeleweka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…